Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
AngaliaNipo hapa
AngaliaNipo hapa
M-bet ndyo nzuri kama unapesa kwenye account ya m-pesa au tigo hata airtel hamishia kuanzia buku kwenye wallet account ubet kwa jero jeroNimejiregister mbet nimeachana na ile sportpesa
Unge pakua app kabisa alfu unaenda kwenye kipengele cha multiple bet hapo ndyo hadi kuna machaguo ya Double chance yaani team unaipa options 2 ishinde au itoke drawAngalia![]()
Kwenye app naona princess bet nikitafuta mbet zinakuja tofautiUnge pakua app kabisa alfu unaenda kwenye kipengele cha multiple bet hapo ndyo hadi kuna machaguo ya Double chance yaani team unaipa options 2 ishinde au itoke draw
SawaM-bet ndyo nzuri kama unapesa kwenye account ya m-pesa au tigo hata airtel hamishia kuanzia buku kwenye wallet account ubet kwa jero jero
Itafutie opera mini sio playstoreKwenye app naona princess bet nikitafuta mbet zinakuja tofauti
Hujambo mjukuu wangu?Ndio hii
![]()
Yenyewe ni M-bet sio hiyoNdio hii
![]()
Sijambo babu shikamoo nipo darasaniHujambo mjukuu wangu?
Mmh mbona siioni sasaYenyewe ni M-bet sio hiyo
Ingia Google andika m-bet app litakuja chaguo la mwanza kabisa hapo hapo clic kuipakuaMmh mbona siioni sasa
HiyoIngia Google andika m-bet app litakuja chaguo la mwanza kabisa hapo hapo clic kuipakua
Ndyo ingia hiyo ya kwanzaHiyo![]()
Hapo sasaNdyo ingia hiyo ya kwanza
Iyo lugha sasa mimi haipandagi dah! Embu change language alfu uende kwenye multiple betHapo sasa![]()
Nipo kwenye multiple betIyo lugha sasa mimi haipandagi dah! Embu change language alfu uende kwenye multiple bet
kwenye multiple bet chagua zile timu nilizokupa kama nimeiwekea win or draw clic kuna kialama cheusi juu ya mechi nenda kwenye double chance kuna sehemu imeandikwa 1x unabonyeza kama nimekuandikia 1 bonyeza 1 kwenye normal ukimaliza nenda kuna sehemu ya kuweka pesa alfu finishi ukimaliza kuna sehemu itakuandika pay via wallet or m-pesa utabonyeza kama ni walet au m-pesa au tigo alfu utabonyeza kwenye pay ticket utaletewa namba flan juu ya mkeka hizo ndizo za muhimu ukiwa unalipiaNipo kwenye multiple bet
Jaman mbona kialama cheusi sikioni mmkwenye multiple bet chagua zile timu nilizokupa kama nimeiwekea win or draw clic kuna kialama cheusi juu ya mechi nenda kwenye double chance kuna sehemu imeandikwa 1x unabonyeza kama nimekuandikia 1 bonyeza 1 kwenye normal ukimaliza nenda kuna sehemu ya kuweka pesa alfu finishi ukimaliza kuna sehemu itakuandika pay via wallet or m-pesa utabonyeza kama ni walet au m-pesa au tigo alfu utabonyeza kwenye pay ticket utaletewa namba flan juu ya mkeka hizo ndizo za muhimu ukiwa unalipia
Umefikia wapi?Jaman mbona kialama cheusi sikioni mm