Dawa ya nyaku nyakuMpo wananzengo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ya nyaku nyaku
Mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jumapili njema wadau wa Makapuku
Mimi zaidi ubarikiwe my daughterHbr ya asubuhi makapuku wenzangu nmewamiss sana[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kwema Ubarikiwe sana SHIMBA YA BUYENZEYaani Makapuku siku hizi wanaonekana kwa nadra mno. Ngoja tusubiri mwezi huu uishe pengine watarudi. Kwema lakini? Mwaka mpya unaendeleaje?
Tafakari njemaTafasiri Unavyoweza: Nafunga Wiki Tanzania 2038
Kwanza nijipongeze, nimeandika kipengele hiki kwa siku zote za kazi Jtatu-Ijumaa. Inawezekana kabisa kutokana na namna ushiriki wa wengi umeonekana kupunguza hapa, nimepata nguvu zaidi ya kuandika na kusoma mwenyewe, tafasiri Unavyoweza. Soma mpaka mwisho.
Kupanga mipango ni jambo zuri, iwe ya kibinafsi, familia, jamii na nitaongelea zaidi mipango kama jamii/taifa ya Tanzania. Shirika la Idadi ya Watu linaonesha takwimu kuwa tumekuwa na ongezeko kubwa la watu nchini, tunazaana sana, hili si jambo baya. Kati ya 2002 -2012 Idadi ya watu iliongezeka kwa asilimia 30 (34mil hadi milioni 45. Na kwa kiwango cha 2.7 tunachozaliana basi mwaka 2038 tutakuwa milioni 90, tuombe uzima.
Mipango ya muda mrefu ikoje, au ndo habari za kuendeleza DSM peke yake huku mikoa mingine ikiachwa hohehahe bila miundombinu ya maana. Kilimo je, siasa ya kilimo inayomfanya mkulima aonekane mjinga itabadilishwa? Kama tukidharau na kutoa bajeti ndogo ya kilimo, serikali ina mpango wa kutufanya 'tukulane wenyewe' . Fikiria Unavyoweza , nachokoza tu.
Elimu tunaitizama vipi kwenye zama hizi za kufyatua tu, utawala bora je! Umeme wa kusuasua unaofaidisha kimkono wa birika asilimia 41 tu ya wananchi. Pato (GDP) kwenye Kilimo haliko imara kisa madini.
Fikiria Unavyoweza, nafunga wiki na Tanzania mwaka 2038 tutakuwa milioni 90, tunza afya.
Muziki: FurahiDay Mdau Mwaminifu
...maneno machache kwa sababu ya ukimya unaoendelea kutamalaki humu jamvini. Hakijaharibika kitu maana bado wengi wetu tukipata muda tunachungulia na kusmile kisha tunaendelea tunapotaka kwenda, JF ni kama bahari, kubwa mno kuanzia jukwaa la juu hadi la chini, hapo sijaoongea vijijukwaa vya msimu. Uzuri ni kuwa Makapuku ilionekana kuwa ya msimu lakini imesimama kuliko moja. Hongera kwako unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Muziki sasa, sijaacha kuwakumbuka hata kidogo, mnalijua hilo. Nakutakia wikend njema mdau mwaminifu
Abee, Ubarikiwe T wa Sakayo
Jumapili njema wadau wa Makapuku
[emoji120] [emoji120]Asante kwa kuufurahia. uwe na weekend njema BH
Nilikumiss mama mchuchuAbee, Ubarikiwe T wa Sakayo
Nipo T wa Sakayo karibu sana,Ubarikiwe sanaNilikumiss mama mchuchu
Nimekumis kaka ubarikiweWatu wa mungu wazima?
Nimewamisi