Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Tafasiri Unavyoweza: Weka Bustani Mezani
Mlo uliokamilika haushibishi tumbo tu, unaupa mwili nguvu, joto na mengine mengi tunayohitaji kama binadamu. Utakuwa umegundua kuwa kipengele Cha leo hakiongelei mlo shibisha tumbo bali mlo mwili unahitaji.
Bustani unaweza itafasiri unavyoweza, ipo ya wanyama, maua, mboga n.k. Nitajikita kwenye maana ya mazoea , Bustani ya mbogamboga.
Imekuwa ni kawaida sana kwa sasa family nyingi wakati wa mlo kusahau mbogamboga na matunda, mazao ya bustani. Mlo umekuwa ni mzito na unasukumizwa na maji au vinywaji vingine. Tunasahau kabisa kula mboga mboga na matunda kukamilisha mlo kamili.
Tafasiri Unavyoweza, ni wakati wa kuileta bustani mezani. Mlo wowote uendane na mazao ya bustani. Ni suala la mlo kamili na tambua kabisa tomato sauce (ketchup) si mbadala wa bustani. Jipe nafasi usome inanini ndani yake, ukiweza waweza tushirikisha umekutana na nini ndani ya sauce tunayoipenda kwenye viepe