Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nilipita nikasoma kimya kimya nimechoka na mathreadIle ya jf ya wenye ushawishii
Nilipita nikasoma kimya kimya nimechoka na mathreadIle ya jf ya wenye ushawishii
Bora ya agreyHahahaha ya agrey sasa
MmmmmmhAhahhh kwahiyo nisicheke hivi yule mtoto wa ngapi wa 3 au wa 4 kidume kwenye ubora wake nilimuona mitaa ya kwa dada mange
Na jeans na kufuli kabisa
Mwishowe unalalamikaaa mbona kidogoBora ya agrey
Ahahhhh nini sasa nimeuliza tu mimiMmmmmmh
Sema tatizo kaukau wanakausha sanaMwishowe unalalamikaaa mbona kidogo
Ankoo anajuaa vipimo vyako kwelii??
OkAhahhhh nini sasa nimeuliza tu mimi
Kuna chimbo kumbe lipo katikati wale hatariii...sio wa nchiii hiii unakulaa rohoo inapendaaSema tatizo kaukau wanakausha sana
Hajui si unajua me kibongeAnkoo anajuaa vipimo vyako kwelii??
Labda hapo napenda kula kitu kizuri mambo ya kaukau imekauka wee nalia uroho tuKuna chimbo kumbe lipo katikati wale hatariii...sio wa nchiii hiii unakulaa rohoo inapendaa
Ndo nashangaaa ...sijui kala makande ya wapiiHajui si unajua me kibonge
AhahahhhNdo nashangaaa ...sijui kala makande ya wapii
Mazoezi ya kukata tumbo uliendelezaa kweliii ??Ahahahhh
Mazoezi ya kukata tumbo uliendelezaa kweliii ??


ebu huko kwa tumbo lipi usinichulie likaanza kufumuka niletee zawadi basi samaki na maharage mabichi nitaitikiwa tu kuletewa siletewi
ebu huko kwa tumbo lipi usinichulie likaanza kufumuka niletee zawadi basi samaki na maharage mabichi nitaitikiwa tu kuletewa siletewi
