Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Kuishi Darasani

.....u khali gani Kapuku mheshimika, yes, wewe ambaye uko hapa na umejitoa muda wako, nguvu, akili na mali kusoma kipengele hiki cha muziki hapa jukwaani. It is almost furahiday, FYI.

Darasa naloliongelea hapa sio lile unalokumbuka ukiwa unahudhuria elimu ya msingi, seko, au chuo. Usifikirie majengo, ubao, kengele na ratiba ya vipindi, la hasha. Naongelea darasa la dunia hii tunayoishi, mazingira na mazingara. Kuishi maisha ya bila kuwahi namba, maisha ya kupigishwa magoti ukichelewa na adhabu nyingine nyingi.
Hapa naongelea darasa la dunia, darasa la kufuata sheria, darasa la kutopindisha sheria, darasa la kuwa mstaarabu, kuheshimiana na kupeana nafasi. Kifupi darasa la kuwajibika kwa sababu inakupasa.

Muziki sasa, inakaribia furahiday na wacha uburudike na hii ngoma nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom