Makapuku Forum

Makapuku Forum

...tatizo lipo sana na wala halipo kwenye kuniamkia. Salamu ni nusu ya kuonana ila sassa mkuu imetokea wapi tena
Khaaaa kwahiyo hulitakii jf si wamesema tuitane mkuu ahahhah nimekumbuka kitu kipindi nikigombana na Lee tukiwa humu kapuku hatuongei anavumilia anashindwa ananiambia ninavyoona kuitana mkuu ndio inayofatia jaman
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom