Makapuku Forum

Makapuku Forum

giphy.gif
 
Muziki: Kuishi Darasani

.....u khali gani Kapuku mheshimika, yes, wewe ambaye uko hapa na umejitoa muda wako, nguvu, akili na mali kusoma kipengele hiki cha muziki hapa jukwaani. It is almost furahiday, FYI.

Darasa naloliongelea hapa sio lile unalokumbuka ukiwa unahudhuria elimu ya msingi, seko, au chuo. Usifikirie majengo, ubao, kengele na ratiba ya vipindi, la hasha. Naongelea darasa la dunia hii tunayoishi, mazingira na mazingara. Kuishi maisha ya bila kuwahi namba, maisha ya kupigishwa magoti ukichelewa na adhabu nyingine nyingi.
Hapa naongelea darasa la dunia, darasa la kufuata sheria, darasa la kutopindisha sheria, darasa la kuwa mstaarabu, kuheshimiana na kupeana nafasi. Kifupi darasa la kuwajibika kwa sababu inakupasa.

Muziki sasa, inakaribia furahiday na wacha uburudike na hii ngoma nzuri

Asante Obe Ubarikiwe
 
ISAYA 41

10.USIOGOPE KWA MAANA MIMI NI PAMOJA NAWE ,USIFADHAIKE KWA MAANA MIMI NI MUNGU WAKO;NITAKUTIA NGUVU,NAAM NITAKUSAIDIA NAAM NITAKUSHIKA MKONO KWA MKONO WA KUUME WA HAKI YANGU .

USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE
 
Neno LA Mungu Ni Pana ndugu soma Matendo ya Mitume16:24-28 Uone kwa Maombi ya Usiku yanavyofanya kazi Paulo na Sila walipokuwa wakiomba usiku Wa Manane na Kumsifu Mungu,Mara ghafla tetemeko lilitokea na vifungo vyao kuachia na Milango ikafunguliwa,Ndugu haya Maombi nayo ya Nguvu sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom