Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Kawa kawaida ila sio kama zamani...Nanyi pia
Naona mnalisongesha tu
Life goes on
......
Wengine tumekuwa na majukumu kidogo but...tunakuja kupiga stori huku.
Kawa kawaida ila sio kama zamani...Nanyi pia
Naona mnalisongesha tu
Life goes on
......
Kipande hiyo vipii?Nambie chalii yang
Uzi upi huo shunie..Ahahahh pole sana hivi dada yule wa kwenye uzi nimjuaye mm au mwingine nimecheka kufwaa



Mama angu mie kama nakuonaKaribu sana sana tuna furahi kukuona tena
Hivi zako zinakuja kweliii au heinken za kuchorwa jamanDuuuuuh na hapo bado zanguuu![]()
![]()
![]()
Ndio uwe nae karibu sasaShunie...
Dada yako amebugia sijui kinywaji cha china...! Anaumwa kweli ujue..
Ni siri yangu na yake siwezi kumkaanga damu yangu huyoUzi upi huo shunie..![]()
Oooh! Nimekuta moyo wangu unadundia kulia...Ndio uwe nae karibu sasa

Hizo za kupiga live nasubiriaa upepoo utulieeeHivi zako zinakuja kweliii au heinken za kuchorwa jaman

Nishaujua aisee. But nahisi mimi inabidi niwe na siri hata zaidi yako.Ni siri yangu na yake siwezi kumkaanga damu yangu huyo
Shululu alinifichaUlikuwa weww mama 2....hadi karibia ifike tar 2

Eeh...poleni na hongerenShululu alinificha![]()
Sitaki za live huu upepo hautulii kabisa we nitumie nitanunua pic nitakutumiaHizo za kupiga live nasubiriaa upepoo utulieee![]()
![]()
![]()
Loooooh kinakabwaa mpaka kivuliii?Sitaki za live huu upepo hautulii kabisa we nitumie nitanunua pic nitakutumia
Aki nahisi kukufwaa....
Nimekunywa nini ileee... Kung Fu....
Likizo imeisha?nilijua bado hupatikani,narudi soon
Mambo ya heinken hayawezi huyo T hiyo kitu taste kama heinken achana na Windhoek uliyoizoea ipo liteOooh! Nimekuta moyo wangu unadundia kulia...
Mimi nishamwambia apige vitu vya kueleweka...
Angekula Heineken asingekuwa na haya masaibu..![]()
Nishaujua aisee. But nahisi mimi inabidi niwe na siri hata zaidi yako.





Hahahhaaa! Nacheka mabaya ujue..
Ninii hiyo ndio aliyokunywa sakayo