Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Leo imekuwa kama maajabuKaribu tena, afu leo umeonekana mapema.. sio kawaida yako
Leo imekuwa kama maajabuKaribu tena, afu leo umeonekana mapema.. sio kawaida yako
Pole sana kaka.Nsamehe sana kaka, nimepata msiba home ndo maana niko kimya sana.
Kumbe!R.I.P= return if possible
Karibu tena, afu leo umeonekana mapema.. sio kawaida yako
Inashangaza kweliLeo imekuwa kama maajabu
Mkuu usiniache niunge mkonoLeo imekuwa kama maajabu

Na wewe pia mpendwa.Wapendwa mlale salama.
Kesho pia ni siku.
Poa kaka, inapendeza sana kutujulia hali kila unapopata timeLeo nimepata wasaha mapema,
Nikasema si vibaya kama nitautumia kuwasalamia marafiki.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Karibu mpendwaWazima wote?
Ibra anawasalimia nimemkuta kwenye jukwaa moja huko anabarizi
Sie wazima dada, karibu sanaWazima wote?
Ibra anawasalimia nimemkuta kwenye jukwaa moja huko anabarizi
alaa kumbe...nisione vyaelea...Mkuu ili heshima yetu iendelee kaa mbali na hili chimbo langu nimelitoa Rwanda
cc Rubii
Usiku mwema kwakoWapendwa mlale salama.
Kesho pia ni siku.
Jamaa meno 32 yote nje