briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mi niko poa kabisa chiefkwema za kwako?
Mi niko poa kabisa chiefkwema za kwako?
Acha uongo niko nae hapaMkuu mbona umechelewa
Tumesafiri mkuuWakuu mpo? mmekua adimu ka sukari dukani
baridaa, tupo kwenye kijiwe chetu kama kawaMi niko poa kabisa chief
Usije ukaitamka kwa kizungu hii.....Upumzike salama
hahaha...abiria chunga mzigo wako.Acha uongo niko nae hapa
Pamoja sanabaridaa, tupo kwenye kijiwe chetu kama kawa
R.I.P shem amaizingUpumzike salama
Bado sijajua ngoja tusubirie wadau wakisema tukeshe tunakesha tu maana hakuna namna
Cobblepots & co. nawasalimu popote mlipo ..
Em iweke kwa kizungu nioneUsije ukaitamka kwa kizungu hii.....
R.I.P = Return If PossibleR.I.P shem amaizing
Mkuu ili heshima yetu iendelee kaa mbali na hili chimbo langu nimelitoa Rwandahahaha...abiria chunga mzigo wako.
Wakuu mpo? mmekua adimu ka sukari dukani
R.I.P= return if possible![]()
![]()
sikumaanisha hivyo bro, mwenyewe amenisoma
Karibu tena, afu leo umeonekana mapema.. sio kawaida yakoNipo sana kaka,
sema ratiba imebana kidogo.
Hata sisi pia tunafurahi kukuona mkuu Cobblepots
Bar imefungwaKaribu tena, afu leo umeonekana mapema.. sio kawaida yako