Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
shukrani sana, natumai wote wanaokuzunguka ni wazima ..njema sana, karibu kijiweni
shukrani sana, natumai wote wanaokuzunguka ni wazima ..njema sana, karibu kijiweni
Usiku mwemaWapendwa nawatakia uck mwm
Bocoumerci...
Bocoumerci...
Mzima wa afya, tupo hapa tunalisongeshaMy weekend was well Jimena.
Vipi, mzima wewe?
We acha tu, patience123 hataki nirudiane na mupenzi wangu RubiiShem Vip?? Mbona hujiamini???
Hapana, kuna dem mmoja alikuwa ananitaka aitwa Patience123
But nilimkataa...muulize dadangu
JIMENA
Mkuu mbona umechelewa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kaa mbali
Hongereni wana Jangwani kwa UBINGWA.
Mupenzi hapa mm nafahamika ka pastor. Ulizia utaambiwa.Nawewe unafomu za kujiunga?

Nipo kaka.
Za jumapili?
oi niaje wakuu..
teh teh teh...aiseeWakuu mpo? mmekua adimu ka sukari dukani
Upumzike salamaWapendwa nawatakia uck mwm
Mkuu kwema?teh teh teh...aisee
kwema za kwako?Mkuu kwema?
Bora ulale unataka kufukiza ndege wangu!!Wapendwa nawatakia uck mwm
Mkuu mbona sikuhizi pako shwari kabisa, hata night huwa napita paleLa river side