briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Kipindi kile ilikua ni shida sana aisee, ilikua hata ukiharibikiwa na gari usiku maeneo yale inabidi ulale ndani ya gariPalikuwa tishio alfajiri na usku
Kipindi kile ilikua ni shida sana aisee, ilikua hata ukiharibikiwa na gari usiku maeneo yale inabidi ulale ndani ya gariPalikuwa tishio alfajiri na usku
Atakuwa jirani yakoPredict & win
![]()
![]()
![]()
...............
Mi ninaionaga tu. Siijui jina.![]()
Hii style inaitwaje?
Futa machozzii![]()
Hii style inaitwaje?
Imekuwa maarufu sana huko InstaMi ninaionaga tu. Siijui jina.
Hata mi nlimaanisha huyo dada, sasa mbona anakiki sana?Chura bila shaka ni huyo dada
Senkyu kaka
Sanaa, mimi mwenyewe natamani kuigaImekuwa maarufu sana huko Insta
alaaa kumbe...Futa machozzii
Labda tumuulize Bitoz aliyetuletea pichaHata mi nlimaanisha huyo dada, sasa mbona anakiki sana?
Usiige bhana.Sanaa, mimi mwenyewe natamani kuiga
Poa kaka, nadhani imeeleweka sasa
Nitajaribu nione kama nitapendeza.Usiige bhana.