Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Umechagua jambo jemaLeo nimepata wasaha mapema,
Nikasema si vibaya kama nitautumia kuwasalamia marafiki.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Palikuwa tishio alfajiri na uskuMkuu mbona sikuhizi pako shwari kabisa, hata night huwa napita pale
Nlicheka jamaa anasema eti leo umeibuka mapema kwasabu ile sehem ya kilaji imefungwa, kwan ulipitia huko mkuu?Haahaaaa,
Naona leo amekuamulia
Niww huyo bitoz?
hahhahahahahahaha
Maadili !!!!!!????
Hivi chura mwenyewe ndo huyo braza? mana nimekua mvivu kidogo kumfatiliaJamaa meno 32 yote nje
Le super bilionea![]()
Le Babu jingazzzzzz
......... ........
Kula kimya mkuu wanguNlicheka jamaa anasema eti leo umeibuka mapema kwasabu ile sehem ya kilaji imefungwa, kwan ulipitia huko mkuu?
Chura bila shaka ni huyo dadaHivi chura mwenyewe ndo huyo braza? mana nimekua mvivu kidogo kumfatilia
Nlicheka jamaa anasema eti leo umeibuka mapema kwasabu ile sehem ya kilaji imefungwa, kwan ulipitia huko mkuu?