Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mke wake kajaaaMkeee wakeee
Mke wake kajaaaMkeee wakeee
Mkuu vipi hali.Nawaangalia tu , ndugu yenu nimeng'olewa meno ya hekima Lyon Lee , makaveli10 , Shunie
Anayekataa kunipitia kwenda kigamboni anatamani amalize mwaka vibaya, nitamroga
.....akiyachenji mapaundi na kuniachia naenda kuyabadili nakuletea hela ya Zimbabwe. Siwezi kukupa hela kamili, nina akili timamu kuelekea kufunga mwaka
Sasa mimi namuwinda nani mkuu!?Hali yangu nimepambana nayo nimeishinda kwa mali. Nimeuza korosho zangu, nimenunua boxer tatu, moja ya wageni. Nyingine nitakuja nayo Dar kigamboni. Hivi BH anakaa mtaa gani? Kama anakaa Serengeti itakuwa poa sana kwa mimi mwindaji makaveli10
Bora lebanon kuliko libya.....unaweza ukapewa namba ya boti pale Lebanon
Shunie ake kweli wewe wa kishua, embe unaenda supermarket.. hujui hata aina za embeKitu ganiiii embe mawazo ndio embe gani tena

Aje chiefHilo ndo la muhimu
Nitamroga kweli![]()
![]()
![]()
![]()
Shunie atakuroga ndugu yangu.
Sinunui supermarket jaman hilo jina limenichanganya tuShunie ake kweli wewe wa kishua, embe unaenda supermarket.. hujui hata aina za embe![]()
![]()
![]()
![]()
Thanks maka akeeHapoy birthday shunie akee!!

Ila obe nae mchawi!! Ntwara wamemshindwa huko..Nitamroga kweli
Teh teh teh.. taja aina za embe zikifika 10 tu utanidai elf 10Sinunui supermarket jaman hilo jina limenichanganya tu
Safi kiongozi, habari yako
Nimeshindwa mm hapo kwenye 10Teh teh teh.. taja aina za embe zikifika 10 tu utanidai elf 10
Hakuna namna ingine acha uloe![]()
![]()
![]()
Si kwa mabusu hya, leo ntaloa mate![]()
![]()
Asante mke mweeHBD mke mweee,Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na akutimizie haja ya moyo wako
Tunakupenda sana


nawapenda pia