Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kigamboni napatamani nitakuja tu
Lini shunie.. haya bhana, mapaundi nayo yanaenda na maji, si unajua tena pesa yake matumizi.

Hakuna 10 elfu iliyoandikwa hii ni kwa ajili ya kuweka kwenye kibubu, bali ni kwa matumizi tu.
 
Yaan ukinitajia mapound unazidi nivuruga ebu fanya mpango wa kwenda bureau unirushie kwa mpesa
 
Back
Top Bottom