Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ndio.Maka kwahiyo unamwachia obe
Ndio.Maka kwahiyo unamwachia obe
Mbona me nakubaligi kushare inabidi na wewe ukubali tu kushare
Maka kwahiyo unamwachia obe
Anko, wabaya wako ndo wabaya wangu, watambana lakini hawatashindaMm ili nionekane ndo mbaya
Mwambie apambane na hali yake
Teh teh teh..![]()
![]()
..
Nitajitahid nifanye hivyo ndugu yangu.. japo namba yako sina.
Sitakiii nimpitie ili agundue ninii
Kitu ganiiii embe mawazo ndio embe gani tena....mimi sitaki kugundua kitu, nipitie nikakugundulishe kitu kizuri huko, nikakuonjeshe na embe mawazo
Ngoja mama akuje akujibuHali yangu nimepambana nayo nimeishinda kwa mali. Nimeuza korosho zangu, nimenunua boxer tatu, moja ya wageni. Nyingine nitakuja nayo Dar kigamboni. Hivi BH anakaa mtaa gani? Kama anakaa Serengeti itakuwa poa sana kwa mimi mwindaji makaveli10
EwaaaaaSharing is caring!
Kitu ganiiii embe mawazo ndio embe gani tena
Anko, wabaya wako ndo wabaya wangu, watambana lakini hawatashinda
Hivi umetokea wapi lakini.....akiyachenji mapaundi na kuniachia naenda kuyabadili nakuletea hela ya Zimbabwe. Siwezi kukupa hela kamili, nina akili timamu kuelekea kufunga mwaka
Hilo jina limenichanganya tu nitakua nazijua tu...lol! Huzijui embe mawazo, fanya uende kigamboni aisee
Hilo ndo la muhimuNawaangalia tu , ndugu yenu nimeng'olewa meno ya hekima Lyon Lee , makaveli10 , Shunie
Anayekataa kunipitia kwenda kigamboni anatamani amalize mwaka vibaya, nitamroga
Anko ulipo nipigieeeSharing is caring!
Mkeee wakeee