Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Umefurahiiii
Umefurahiiii
Hatariiiii sana huu wimbooooWooooozaaaaaaa
Shemela za wewe shemela wa mimiUmefurahiiii
Sio kweliii nilipo mtandao wa kutegesheaaNikikujibu unapotea mazimaaaa
Upo upareni ni niniSio kweliii nilipo mtandao wa kutegesheaa
Zaidi ya hatariiiHatariiiii sana huu wimboooo
Salama shemela wangu mm mzima weweShemela za wewe shemela wa mimi
Ndio upo huko kaskaziniSio kweliii nilipo mtandao wa kutegesheaa
Mi mzima kabisa shemela wangu, D hajamboSalama shemela wangu mm mzima wewe
Kaskazin sio kaskazin ...nimemkumbukaa bibNdio upo huko kaskazini
D mzima yupo na baba akee mdogo Lyon huko kijijini na baba akeeMi mzima kabisa shemela wangu, D hajambo
Oooh safiiiiKaskazin sio kaskazin ...nimemkumbukaa bib
Kwelii kabisaaaD mzima yupo na baba akee mdogo Lyon huko kijijini na baba akee
Nimepita hapo kwenu mbezi sasa hivi tuD mzima yupo na baba akee mdogo Lyon huko kijijini na baba akee
Sasa 62 zangu nazipataje eti kama upo huko jamanKwelii kabisaaa
Sasa kwa nini haujanitafuta shemela au uliogopa ningekuomba hela ya sikukuuNimepita hapo kwenu mbezi sasa hivi tu
Asante na kwako piaMakapuku wote wa damu kama ndugu kama family, naamini vyote niwazima wa afya....
Sina budi kuwatakia siku njema na mlisongeshe vema mpaka siku ya kuzaliwa kwake yesu. Amen!
Habari zenyu jamani!!
Dada wa familia ya the kapukuz's, a k a mshkaji wangu,,, mimi nipatie daireksheni tu! x-mass wapiAsante na kwako pia
Nipo kijijini huku mkuu nimeletwa na Lyon Lee ndio nitakula sikukuuDada wa familia ya the kapukuz's, a k a mshkaji wangu,,, mimi nipatie daireksheni tu! x-mass wapi