Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Zitapatikanaa tuSasa 62 zangu nazipataje eti kama upo huko jaman
Zitapatikanaa tuSasa 62 zangu nazipataje eti kama upo huko jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kwa nini haujanitafuta shemela au uliogopa ningekuomba hela ya sikukuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nipo kijijini huku mkuu nimeletwa na Lyon Lee ndio nitakula sikukuu
Aaaah! Nyie ndo wale wachaga mliokuwa mmejaa sana pale ubungo mpaka kielewekeNipo kijijini huku mkuu nimeletwa na Lyon Lee ndio nitakula sikukuu
Hapo sawa [emoji4][emoji4] halaf leo nilikua mitaa ya kwako kule roho ilikua inasita kukutafuta kumbe haupoZitapatikanaa tu
Kweli jaman hivi kwa nini hajanitafuta mtu yupo mbezi kwetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimealikwa au uongo si tupo wote[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio sisi mkuuAaaah! Nyie ndo wale wachaga mliokuwa mmejaa sana pale ubungo mpaka kieleweke
Oooooh ulifikaa juu kabisa kulee ...Hapo sawa [emoji4][emoji4] halaf leo nilikua mitaa ya kwako kule roho ilikua inasita kukutafuta kumbe haupo
Ndio tuko wote nan anapingaaaNimealikwa au uongo si tupo wote
Nop sio home kule banaOooooh ulifikaa juu kabisa kulee ...
HakunaaaaNdio tuko wote nan anapingaaa
Namanishaa kule kwa rafiki uliyenambia siku ileNop sio home kule bana
HaswaaaBasi kama ndo nyie naona lyon lee atakunywesha mbege yakutosha tu
Kumbe nipo sahihi kabisa, mbege inamuhusu sana...Haswaaa
Mkuu karibu kaskaziniKumbe nipo sahihi kabisa, mbege inamuhusu sana...
Asee chalii angu sasa mpatie iyo kitu hadi asahau njia ya kurudi kwao asee!
Chalaaaa anguuu niko makiniii chaliiiiKumbe nipo sahihi kabisa, mbege inamuhusu sana...
Asee chalii angu sasa mpatie iyo kitu hadi asahau njia ya kurudi kwao asee!
Hahaha! Mkuu kaskazini nitakaribia lakini sio kwa mwezi huu, sensa inaendelea saivi huko mnaweza kuniweka kwenye hesabuMkuu karibu kaskazini
Vizuri viko huku...!Hahaha! Mkuu kaskazini nitakaribia lakini sio kwa mwezi huu, sensa inaendelea saivi huko mnaweza kuniweka kwenye hesabu