Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
Najua uko makini chaliii lakini hakikisha unamrudisha dada yenu mjini arifuu, asije akalowea hukohukoChalaaaa anguuu niko makiniii chaliiii
Najua uko makini chaliii lakini hakikisha unamrudisha dada yenu mjini arifuu, asije akalowea hukohukoChalaaaa anguuu niko makiniii chaliiii
Najua uko makini chaliii lakini hakikisha unamrudisha dada yenu mjini arifuu, asije akalowea hukohukoChalaaaa anguuu niko makiniii chaliiii
Basi, aksanteh sana na mimi nishakaribia kaskazini.. Chakufanya sasa kukamilisha mualiko ni kutuma nauli kwa halopesa yanguVizuri viko huku...!
Hadi taree 27 sensa inakuwa imeshaisha.
Acha aninyweshe mkuu hakuna namna ingineBasi kama ndo nyie naona lyon lee atakunywesha mbege yakutosha tu
Hapana sio mitaa hiyo mitaa ya job kwakoNamanishaa kule kwa rafiki uliyenambia siku ile
Oooooh nilichukua kikizo kitambo kidogoHapana sio mitaa hiyo mitaa ya job kwako
UbarikiweMakapuku wote wa damu kama ndugu kama family, naamini vyote niwazima wa afya....
Sina budi kuwatakia siku njema na mlisongeshe vema mpaka siku ya kuzaliwa kwake yesu. Amen!
Habari zenyu jamani!!
Ningejuaje mie ila roho ilikua inasita kukutafuta kumbe kwa maanaOooooh nilichukua kikizo kitambo kidogo
Mama huyoooUbarikiwe
Bhasi leo nyama choma nimezikosa au ulikuwa na mheshimiwa?Ningejuaje mie ila roho ilikua inasita kukutafuta kumbe kwa maana
Na mimi auJamaani
Karibuni Christmas tusheherekee pamoja...
We utawaonyesha wageni njiaNa mimi au
Na maji ntawawekeaa kunawaWe utawaonyesha wageni njia
Siku hizi uko na adabu eehNa maji ntawawekeaa kunawa
Nnafata nyayoo zakoSiku hizi uko na adabu eeh
EwaaaaNnafata nyayoo zako
Masharti yote mbona ntayatetimizaaEwaaaa
Nyama choma umezikosa au mm ndio nimezikosa halaf hivi ningekuwa na mheshimiwa ningekuwa na wazo la kukutafuta jamanBhasi leo nyama choma nimezikosa au ulikuwa na mheshimiwa?