Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hebu vunga shem..! [emoji3][emoji3][emoji3]Lee haimfai hiyo hiyo tuzo ni yako kabisa bila kupiga kura
Ujue mimi napenda makapuku wawe na amani.
Hebu vunga shem..! [emoji3][emoji3][emoji3]Lee haimfai hiyo hiyo tuzo ni yako kabisa bila kupiga kura
Sawa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwezi wa kwanza mambo yatakuwa poa
Yeyote anaejtoleaSawa.
Sasa font ferd ataleta nani? Japo nimekuwa mtoro sana humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona labda mganga wake kamwambia komaa na shunie hivi viben 10 siku unajistukia pic yako ipo kwa avatar yake
Sasa mm nakusababishia vipi makapuku kutokuwa na amaniHebu vunga shem..! [emoji3][emoji3][emoji3]
Ujue mimi napenda makapuku wawe na amani.
He he naona nimekufurahisha Ngoda karibu sana umetutembelea kwetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Potezea basi shemSasa mm nakusababishia vipi makapuku kutokuwa na amani
Haha haha umenifanya nimecheka ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti picha yako utaikuta kwenye avatar yake, tuhurumieni basiii.He he naona nimekufurahisha Ngoda karibu sana umetutembelea kwetu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wacha weeh
Sisi ni wazima. Habari yako TumosaHabari wapendwa,nmewamiss kweli
Mm mzima
[emoji3] [emoji3]Shikamoo ulitekwa eenh
PouwaSisi ni wazima. Habari yako Tumosa
Ahahha salam zimefika achana na viben10 unajishtukia tu upo kwa avatar yake ebu niambie unataka kufanya mapinduzi gani hayoHaha haha umenifanya nimecheka ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti picha yako utaikuta kwenye avatar yake, tuhurumieni basiii.
Nimewatembelea nataka kufanya mapinduzi flani hivi. [emoji4] [emoji123] mpe salamu zangu Sakayo.
Ahhha moud bana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asanteee bora umekuja ungenipa kazi ya kukupigia na kukupa salamSijambo mimi
HeheheAsanteee bora umekuja ungenipa kazi ya kukupigia na kukupa salam