BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe mwananguAmeen Mama uwe na usiku mwema [emoji120]

Ndio admin mkuu huyo...ndo nani huyu BH? Ujue mimi huwa nachelewa kupata habari mpya, au ndo admin wa JF ?
Ameni nawe nikutakie mandalizi mema...uwe na msimu mzuri wa Krismasi na Mwaka Mpya
Amen ubarikiweNakupenda kaka yangu ubarikiwe
Tupo mkuuWakuu nawasalimu tu
Muziki: Ni Likizo, Toa Zawadi
Niko kwenye utalii wa ndani, yeah, mambo ya likizo haya, natalii tu na kuona navyomiss kuviona nikiwa mjini. Si mnajua ninakaa mjini mimi, na nikisema mjini simaanishi Dar maana kuna watu wanadhani Dar yote ni mjini, tembea uone, kuna mitaa Dar hawajawahi kuona gari, na hawajui kama chipsi ni viazi, usiniulize ni wapi utanichosha niko likizo. Ukiondoa hii hali ya mvua lakini ninafaidi mengi sana likizo hii yanayonijenga kiimani, kimwili na kiakili. Nakutana na mazingira halisi na sio feki na hata maisha yangu fake ninayoishi mjini nimeyaacha niliposhuka hapa kijijini. Huku ni uhalisia na sio hisia, kuna tofauti.
Kama ujuavyo kipengele hiki huwa ni kukumbushana na kusogoa kidogo juu ya maisha na hasa maisha yangu ambayo kama yalivyo yako yametawaliwa na vitu hivi, elimu, biashara, teknolojia na mahusiano na utani sijauweka kando. Sasa basi hebu niandike nilichonuaia leo. Likizo ni muhimu, shitaji kukukumbusha hili na kwa wote tunaosafri kuja likizo hata kwa wasiosafir ni vizuri kutoa zawadi, maana kuna vingi tunavyo na hata kama hatuna unaweza kununua vichache ukawazawadie likizoni. Kwanini, likizo ndo muda ambao uanenda kukutana na marafiki ambao waliamua kufanya maisha yao hapo hapo ulipoondoka, wengi ulisoma nao msingi, ukaenda nao sunday school au chuo (madrasa) na zaidi mkaenda kuogelea bwawani pamoja, siongelei jando hapa maana kila mmoja ana kabila lake.
Muziki sasa, likizo itumie vizuri kwa kuwa na muda zaidi wa familia, mazoezi kwa sana maana ni mwendo wa kula na kunywa tu na siku mbili hizi nakaona kakitambi kananijongea kiasi kwamba kujichungulia hadi nijiinamishe nyuzi 45. Likizo njema Kapuku mwenzangu shululu , Tumosa , Transcend , SHIMBA YA BUYENZE , BlessedHope , Shunie , makaveli10 , Lyon Lee , Sakayo , Nyagei , Gentries , dumejeuri , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa , moudgulf , husna muba , Werrason , Mussolin5 , Bitoz , Jimena , Mkushi wa kusi , na wewe ambaye hujaenda likizo
sawa mkuu, cheki inbox yakoTupo mkuu
[emoji109] [emoji109] [emoji109]sawa mkuu, cheki inbox yako
Salaam,UbarikiweWakuu nawasalimu tu
Mkuu upo?sawa mkuu, cheki inbox yako

nashukuruSalaam,Ubarikiwe
mimi nipo kamandaMkuu upo?
Poa mkuu nashukuru kukutana kwa Mara nyingnemimi nipo kamanda
pamojaPoa mkuu nashukuru kukutana kwa Mara nyingne
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]pamoja