Makapuku Forum

Makapuku Forum

...huchelewi kuniharibia kwa BH, ujue BH ndo roho yangu mimi, haya maandishi mwingine hayamuhusu, ni mawazo yangu tu.

Huyu anayetumia jina langu la pili ni mtoto majirani huwa wananisingizia kuwa ni wangu, nami ninamuogopa Mungu sijamkataa ninaishi naye
Mmh ni mtoto au mkeo sasa me nitakuharibiaje kwa BH jaman
 
kwahiyo sio yeye anayetumia jina lako eenh kwakweli nisiwe muongo kuhusu mjomba ako sijui labda akija mdogo akee Lyon atajibu

...hakubadilisha jina aligoma, kwa hiyo ndani ya nyumba yetu mimi na yeye tunatumia majina yetu, ila haka katoto nakokapenda kwa sababu nilisingiziwa (kenyewe hakajui) ndo kanatumia jina langu
 
Asante Obe,msalimie huyo anaetumia jina lako la pili..na Mungu awabariki katika likizo yenu msafiri salama,mrudi salama sukari acha angalau kg mbili ....stay Blessed

...nimeamua kufanya maamuzi sahihi, nawaachia mfuko mzima wa sukari kilo 50 wakiweza kuimaliza kabla kabla ya Machi labda sukari waifanye mboga. Ulishwahi kula ugali na sukari? Sasa huku tuna ugali wa makopa
 
Ulisingiziwa eenh lakini kitanda hakizai haramu

Serious ujue, mimi nina nywele za kipilipili, meno makubwa kama punje za mahindim haya haka katoto sasa, miguu mikubwaaa, nywele nzuri na, macho meupe wakati yangu mekunduuu. Au kwa kuwa ni katoto ka kike?
Anyway, tuyaache haya maana ni ya kibinafsi zaidi ilakanabaki kuwa ni kamtu kanakonipa wakati mzuri wakati wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom