Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Tambua Tofauti Ufurahie Wikend

U khali gani Kapuku mheshimika, ninajiaminisha umekuwa na wakati mzuri jumalote hili na leo ndo mwanzo kabisa wa wikend. Ijumaa unajua kabisa binafsi huwa napenda kufanya nini, ni mwendo wa bakulutu na kuangusha moja moja. Zile khabri za sijui vyuma vimekaza, leo ndo siku ya kuzipa mapumziko kidogo, tia grease kwa kula na kunywa kile unachopenda.

Kuna tofauti ya kusoma na kuelemika, mwerevu hahitaji kukaa darasani muda wote, anatoka nje ya boksi na kuangalia nini kinamtofautisha yeye na yule (exposure) na akishagundua tofauti iliyopo basi ndo nafsi ya yeye kuachakata afanye nini kufanikiwa ndani ya hizo tofauti iwe ni za kijinsi, hali, mali, kabila, dini, sexual orientation, elimu na mahali. Ukiweza kuyatmabua haya basi wewe kufanikiwa hakuepukiki. Dunia ni kama kijiji kwa sasa, JF ni kama bahari, msitu mnene ambao unahifadhi wote wanaoangalia na wasioangalia kabisa. Wote tupo humu.

Muziki sasa, furahiday natamani kuandika magumu tusiyoyafurahia lakini kwa kuwa nami nahitaji mapumziko wacha nijiangushia tatu nne hapa kesho nipate nguvu ya kuungana na mavetarani wenzangu kufanya jogging kutafuta appetite ya supu na chapati. Nakutakia wikend njema Kapuku mheshimika na ujue nini, wewe ni mtu mzuri sana kwa sababu unalifanya jukwaa hili kuwa zuri na jipya kila siku kwa kuleta tofauti zako na zangu pamoja na mwisho wa siku tunafurahia kuwa hapa.

Asante Obe
 
Hahahahaaaaa

Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.

Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.

Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka Shunie nikaanza kucheka tuu.

Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..

e2241d71dfa816b97e524185746d821c.jpg

Shunie Twende zetu south basi
 
Good morning!!

Usihangaishe kichwa kujiuliza good morng ipi ni hii hii ya asubuhi njema wala sio ile ya dawa ya kifua.. maana akili nyingi nazo tatizo, wazungu walisema too much(2 march) is harmful, mweny akili akiona bango limeandikwa usikojoe hapa yee anakunya kabisa, eeh si kaambiwa hakuna kukojoa tu..

Asubuhi njema ndugu zangu nawapenda mnoo, maana asiyempenda ndugu yake anaemuona, hawez kumpenda mungu asiyemuona.

Kwa bi maana hiyo nasema nawapenda saana ndugu zangu, zile baraka za mola wetu mtukufu ziende kwetu sote.. jambo kubwa ni tupendane, na tuwapende wazazi wetu, tuwafanyie ihsan wazaz wetu, imeandikwa pepo ya mwenyezi mungu ipo chini ya nyayo za mama zetu, naomba tuwapende saana mama zetu, achana na hawa waduwanzi wazungu eti kuna kitu kinaitwa siku ya mama.. mpende na umuoneshe upendo wa juu kila siku, mthamini na muheshimu na umjali. kingine ni tufanye saana ibada, tusamehe wale tuliowakosea nasi tupate kusamehewa... Naihusia nafsi yangu na zenu pia

Siku njema nawapenda mnooo, sijawahi penda hiv maishani, upendo nilionao kwenu watu ambao siwafahamu kwa picha unazidi hata baadhi niwajuao kwa macho..
 
Shukran mkuu ...unapendwa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom