Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,976
Si zile zile 62 jaman au ujue unanivuruga naweza nisipatikanike week ijayo nina mambo mambo hapa ebu tuma tuKama ni leo sawa
Si zile zile 62 jaman au ujue unanivuruga naweza nisipatikanike week ijayo nina mambo mambo hapa ebu tuma tuKama ni leo sawa
Eeeeh! Jamaaani lakini?Kwa starehe za ubongo wake
Natamani nikakuchukue yaani..Upo kama mimi havibebeki hivyo hata kwa greda Rachel ebu niletee heinken nyingine mbili za baridi
Sasa mie nikunywe niniUpo kama mimi havibebeki hivyo hata kwa greda Rachel ebu niletee heinken nyingine mbili za baridi
Wakati unakata hizo chupa hakikisha umeshiba kwanza..Upo kama mimi havibebeki hivyo hata kwa greda Rachel ebu niletee heinken nyingine mbili za baridi
Kanichue tu sijui ndio hivyo ulimaanishaNatamani nikakuchukue yaani..
Mmmh...Sasa mie nikunywe nini
Niko nasikiliza hilo ni chaguo lako, lakini nkakumbuka ni Shunie alinichagulia
Aiseee me sio wa hivyo T nakunywa pombe kwa starehe sio kwa urohoWakati unakata hizo chupa hakikisha umeshiba kwanza..
Mambo ya kutapika sio mazuri kwa afya yako
Sasa mie nikunywe nini
Niko nasikiliza hilo ni chaguo lako, lakini nkakumbuka ni Shunie alinichagulia






mbavu zanguKwa ruhusu ya uncle Lee lakini.Kanichue tu sijui ndio hivyo ulimaanisha
Hivi ulimaanisha ninii kuchukua auKwa ruhusu ya uncle Lee lakini.
Si unajua mimi na lee huwa hatukoseani.
Sawa sawa mama D..Aiseee me sio wa hivyo T nakunywa pombe kwa starehe sio kwa uroho
Ndio Nije kimara kukuchukuaHivi ulimaanisha ninii kuchukua au
UsijaliEeeeh! Jamaaani lakini?
I am troubling?
Hivi kumbe ndio yamekuwa hayo?
Mwambie Dada atulie basi..!mbavu zangu
Ingekuwa bora zaidiNatamani nikakuchukue yaani..
Najua kupatikana itakuwa ngumu ila vumiliaaaSi zile zile 62 jaman au ujue unanivuruga naweza nisipatikanike week ijayo nina mambo mambo hapa ebu tuma tu
It's okayMmmh...
Kwani uongooombavu zangu