Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Tambua Tofauti Ufurahie Wikend

U khali gani Kapuku mheshimika, ninajiaminisha umekuwa na wakati mzuri jumalote hili na leo ndo mwanzo kabisa wa wikend. Ijumaa unajua kabisa binafsi huwa napenda kufanya nini, ni mwendo wa bakulutu na kuangusha moja moja. Zile khabri za sijui vyuma vimekaza, leo ndo siku ya kuzipa mapumziko kidogo, tia grease kwa kula na kunywa kile unachopenda.

Kuna tofauti ya kusoma na kuelemika, mwerevu hahitaji kukaa darasani muda wote, anatoka nje ya boksi na kuangalia nini kinamtofautisha yeye na yule (exposure) na akishagundua tofauti iliyopo basi ndo nafsi ya yeye kuachakata afanye nini kufanikiwa ndani ya hizo tofauti iwe ni za kijinsi, hali, mali, kabila, dini, sexual orientation, elimu na mahali. Ukiweza kuyatmabua haya basi wewe kufanikiwa hakuepukiki. Dunia ni kama kijiji kwa sasa, JF ni kama bahari, msitu mnene ambao unahifadhi wote wanaoangalia na wasioangalia kabisa. Wote tupo humu.

Muziki sasa, furahiday natamani kuandika magumu tusiyoyafurahia lakini kwa kuwa nami nahitaji mapumziko wacha nijiangushia tatu nne hapa kesho nipate nguvu ya kuungana na mavetarani wenzangu kufanya jogging kutafuta appetite ya supu na chapati. Nakutakia wikend njema Kapuku mheshimika na ujue nini, wewe ni mtu mzuri sana kwa sababu unalifanya jukwaa hili kuwa zuri na jipya kila siku kwa kuleta tofauti zako na zangu pamoja na mwisho wa siku tunafurahia kuwa hapa.

 
Marafiki tuonane kesho
01a9ee1333354f97562e338967742f62.jpg
 
Hahahahaaaaa

Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.

Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.

Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka Shunie nikaanza kucheka tuu.

Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..

e2241d71dfa816b97e524185746d821c.jpg


Shunie Twende zetu south basi
 
Hahahahaaaaa

Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.

Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.

Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka Shunie nikaanza kucheka tuu.

Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..

e2241d71dfa816b97e524185746d821c.jpg


Shunie Twende zetu south basi
Safari njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom