Makapuku Forum

Makubwa haya kwahiyo umetafsili hivyo woiiiiiii hapo nimekosea nilitakiwa niandike au loh binamu nitake radhi msagaji hapana aiseee dushe ilivyokua tamu ebu nijilalie mie mama angu nisamehe tu ni duduwasha hilo
Hakika ukweli imekua ngumu
 
Nimelia sanasana kwa msiba na mwisho siwezi ficha nimecheka we Obe wewe...hatari..RIP WANAJESHI WETU ,WALINDA AMANI...ASANTE KWA MUZIKI
 
Thanks a lot brother


Nami nilikuwa offline leo ndio naonekana
 
natumai wote mmeamka salama wa salmin, tumshukuru mungu kwa hilo, hata kama hujaamka salama pia mshukuru pia, huo ni mtihani na chochote anachokupa mwenyezi mungu huwa ni mtihani aidha umshukuru ama umkufuru, tusiwe wenye kumkufuru mola wetu mlezi ambae ametupa neema nyingi nyingi.

Niwatakie Asubuh njema na siku njema makapuku wote nawapenda saana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…