Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]ZABURI 91

4.Kwa Monyoya yake atatufunika
chini ya mbawa zake utapata kimbilio,Uaminifu wake ni ngao na kigao

5..Hutaogopa hofu ya usiku wala mshale urukao
mchana

USIKU MWEMA,DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO IWAFUNIKE WEWE NA FAMILIA NZIMA [emoji120]
 
Muziki: Jumamosi ya Uzalendo

...hii si sawa na Jumamosi nyingine, fyi. Hii imekaa kiuzalendo zaidi na ndiyo maana wote tunakaa chini kutafakari kama taifa tunataka kwenda wapi maaana tulikotoka tunakujua. Kibinafsi ukitaka kwenda unapotaka sio shida, kuna vitu lazima uvifanye, mfano kama mwanafunzi, jitahidi kusaka maarifa ili ufaulu, mfanyakazi fanya kazi kwa bidii, hii inajulikana. Familia, mnakaa chini mnajipanga na kuchagua. Ila kama taifa sasa, hapa ndo tunaweka zile siasa zetu uchwara na kuwa na imani moja ya kujenga taifa na si wengine kujidai ni wazalendo zaidi ya wengine. tiiza wajibu wako

Muziki sasa, Babu Seya Na Papii Kocha wamepewa msamaha wa rais wanarudi uraiani, ni faida za kuwa rais, unafanya kile kinachokupendeza ikiwa tu kinaruhusiwa kikatiba na sheria. Wanarudi na kukuta mabadiliko mengi na mengine ni yale yale.

Kwako Tumosa (umebadili avatar-cute as always) na our very own makaveli10 papa mopao muzee ya tukutuku na makapuku wote nawatakia mwendelezo mzuri wa wikend. Upendo na uungwana ndo uwe imani yetu




Asante Obe Ubarikiwe
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

The loneliest people are the kindest

The saddest people smile the brightest

The most damaged people are the wisest

All because they don't wish to see anyone else suffer the same...

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
FACT[emoji120]
 
Back
Top Bottom