makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,930
- 104,252
Safi, mungu anasaidia bosi wa ulimwengu wote huu.Habari za kuamka kapuku wote
Safi, mungu anasaidia bosi wa ulimwengu wote huu.Habari za kuamka kapuku wote
Nawe pia mpendwa.Zaburi 89:15-17
[15]Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe,
Ee BWANA, huenenda katika nuru ya uso wako.
[16]Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa,
Na kwa haki yako hutukuzwa.
[17]Maana fahari ya nguvu zao ni Wewe,
Na kwa radhi yako pembe yetu itatukuka.
*Neno la Bwana libarikiwe Asubuhi njema Wapendwa*
Vipi hali kiongozi!?Morning makapukus!
Nawe pia mpendwa, ubarikiwe pia.Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako,fadhili zako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.
Tunakuja Mbele zako tukikukabidhi siku ya leo ya Jumamosi 9 DESEMBA 2017 ikawe njema na ya kukupendeza.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosea Kwa mawazo ,kwa maneno, kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali Uturehemu twakusihi.
Tuimarishe ili tukupende,
tukuheshimu na kuishi maisha ya kukupendeza wewe tu.
Tunaikabidhi Nchi yetu iwe na Amani.
Tunazikabidhi Familia zetu zidumishe Upendo na Mshikamano.
Tunawakabidhi wagonjwa na wenye shida mbalimbali majumbani na mahospitalini Baba ukawaponye miili na roho pia wape tumaini lako wakushike wewe tu endelea kuwaonesha ukuu wako Mfalme wa Amani.
Baba wasafiri wote majini,nchi kavu,angani ukawe nao waende na kurudi salama.Na familia zote Baba mwema zikawe salama na Amani itawale.
Watoto wetu popote walipo makazini,majumbani na mashuleni ukawasimamie wakawe vichwa si mikia wafanye mambo yote kwa ufanisi na mafanikio.Tunaendelea kuwakabidhi watoto wetu wenye mitihani ya masomo mbalimbali onekana kwao Baba,uwepo wako utawale katika mitihani yao na wawe washindi,
Baba Mungu tunazikataa kazi zote za shetani zisipate nafasi katika maisha yetu tunazivunja kazi zote hizo katika jina la Yesu Kristo tunamwaga damu ya Yesu Kristo ikatakase kila pando na kuling'oa na kulitupa kuzimu Mfalme wa Amani.
Tunakabidhi kazi zote za mikono yetu zikapate kibali mbele yako nawale wasio na kazi na shughuli za kufanya Baba wape kazi ,waliofanya usaili mahali popote takasa njia zao waweze kupata kazi Baba na maarifa ili wauone Utukufu wako,fungua milango yote ya baraka Baba mwema..kila tuingiapo na kutoka utubariki.
Baba Asante kwa Matendo yako Makuu yasiyo na mwisho,tunauona ukuu wako siku zote za maisha yetu tunasema Asante Baba na tunaomba uzidi kutuimarisha imani zetu zipande na kuwa viwango vya juu ili tuweze kushuhudia matendo yako siku hadi siku.Roho Mtakatifu tutie nguvu tuondoe hofu na mashaka tuliyo nayo.
Nakushukuru maana utatenda yote sawa na mapenzi yako
Katika jina la Yesu Kristo naomba naamini na nashukuru Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE![]()
Safi, mungu anasaidia bosi wa ulimwengu wote huu.
Miss u too dearMiss u bebe
KwemaNiko poa, kwema Tumosa
Hili sio pozi la kumshukuru muumba hili ni pozi la kuchomeshwa mahindi.
Hili sio pozi la kumshukuru muumba hili ni pozi la kuchomeshwa mahindi.
Sijasema utest kifo, nimesema jaribu tujue kama kuna poison ya kutosha au laa..Kuna vitu vya kujaribu mkuu, kuna taster ya umeme, wapo special mahotelin kuonja msosi, lakin ushawahi kuona testa ya kifo..![]()
![]()
jaribu kidogo tu kiongozi

Tatizo nyoka anapatikana mahali ambapo hujapadhania na huwa kwa kushtukiza, mbaya zaidi ukimkanyaga lazima akupe kichapo. Ni shida mkuuMie bora mjomba simba nishamzoea, hata msimbazi yupo, ila nyoka hapana, nikimuona hata kwa tv amani yote inapotea, ninabaki na risasi, uwazi na ijumaa..
Salama shemela, vipi wewe kipenz changu!?![]()
![]()
![]()
Hbr ya kushinda shemela
Aweke pia na salima wa papii kocha, goma nalielewa sana hili.. mie nimeyarudi mayenu vya kutosha, kijasho fumu, sio mbaya tukaisikiliza wote humu.Binamu ukirudi naomba iniwekee wimbo wa seya nataka kucheza leo,mke mwee apumzike
uwe maalumu kwa baba wawili na makapuku wote![]()
![]()
![]()
Naomba unijaribie wewe kama hutojali, naona koo lako na langu saizi moja,Sijasema utest kifo, nimesema jaribu tujue kama kuna poison ya kutosha au laa..![]()
jaribu kidogo tu kiongozi
![]()
![]()
![]()
![]()

Umenikumbusha mbali mnoo mkuu, hiki kiumbe sio kizur kabisa hiki..Tatizo nyoka anapatikana mahali ambapo hujapadhania na huwa kwa kushtukiza, mbaya zaidi ukimkanyaga lazima akupe kichapo. Ni shida mkuu
Mkuu, unainkareji kifo? Au uliona scene ya hivyo kwenye Bongo muvi?Sijasema utest kifo, nimesema jaribu tujue kama kuna poison ya kutosha au laa..![]()
jaribu kidogo tu kiongozi
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna wakati hata unaweza kusaili kama kweli kulikuwa na haja ya kuumba kiumbe kama hiki kwa sababu faida zake ni chache sana. Baadaye ukisoma wanasayansi na Ecology & Food chain yao ndo unaona kuwa kila kiumbe kina faida yake....Umenikumbusha mbali mnoo mkuu, hiki kiumbe sio kizur kabisa hiki..



























