Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna wakati hata unaweza kusaili kama kweli kulikuwa na haja ya kuumba kiumbe kama hiki kwa sababu faida zake ni chache sana. Baadaye ukisoma wanasayansi na Ecology & Food chain yao ndo unaona kuwa kila kiumbe kina faida yake....
Katika uumbaji mwenyez mungu aliumba viumbe kuonesha ukuu wake, na katika kuviumba hakuumiza kichwa wala akili, ila katika maisha ya kila siku wana nafasi yao, kama hvyo katika food chain wanafiti sehemu kukamilisha chain.. hii aliifanya kusudi kuonesha ukuu wake, na wale wanaompinga wapate kuelewa, kaeleza katika kitabu chake kitukufu.
 
Maelezo safi kabisa mkuu. Yeye daima Atabakia kuwa Ndiye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom