Ahsante ndugu yetu.Nawasalimia tu jamani, Mungu azidi kuwatunza
Ninong'oneze basi kama waona aibu.
Atakuja akuambie ShululuNinong'oneze basi kama waona aibu.
Muziki: Jumamosi ya Uzalendo
...hii si sawa na Jumamosi nyingine, fyi. Hii imekaa kiuzalendo zaidi na ndiyo maana wote tunakaa chini kutafakari kama taifa tunataka kwenda wapi maaana tulikotoka tunakujua. Kibinafsi ukitaka kwenda unapotaka sio shida, kuna vitu lazima uvifanye, mfano kama mwanafunzi, jitahidi kusaka maarifa ili ufaulu, mfanyakazi fanya kazi kwa bidii, hii inajulikana. Familia, mnakaa chini mnajipanga na kuchagua. Ila kama taifa sasa, hapa ndo tunaweka zile siasa zetu uchwara na kuwa na imani moja ya kujenga taifa na si wengine kujidai ni wazalendo zaidi ya wengine. tiiza wajibu wako
Muziki sasa, Babu Seya Na Papii Kocha wamepewa msamaha wa rais wanarudi uraiani, ni faida za kuwa rais, unafanya kile kinachokupendeza ikiwa tu kinaruhusiwa kikatiba na sheria. Wanarudi na kukuta mabadiliko mengi na mengine ni yale yale.
Kwako Tumosa (umebadili avatar-cute as always) na our very own makaveli10 papa mopao muzee ya tukutuku na makapuku wote nawatakia mwendelezo mzuri wa wikend. Upendo na uungwana ndo uwe imani yetu

Aahh.. shemeji tuheshimiane bhana, ina maana mie na ukubwa wangu huu siwezi kusema au kuandika shululu mpaka wewe unisemee!!Atakuja akuambie Shululu
Muziki: Jumamosi ya Uzalendo
...hii si sawa na Jumamosi nyingine, fyi. Hii imekaa kiuzalendo zaidi na ndiyo maana wote tunakaa chini kutafakari kama taifa tunataka kwenda wapi maaana tulikotoka tunakujua. Kibinafsi ukitaka kwenda unapotaka sio shida, kuna vitu lazima uvifanye, mfano kama mwanafunzi, jitahidi kusaka maarifa ili ufaulu, mfanyakazi fanya kazi kwa bidii, hii inajulikana. Familia, mnakaa chini mnajipanga na kuchagua. Ila kama taifa sasa, hapa ndo tunaweka zile siasa zetu uchwara na kuwa na imani moja ya kujenga taifa na si wengine kujidai ni wazalendo zaidi ya wengine. tiiza wajibu wako
Muziki sasa, Babu Seya Na Papii Kocha wamepewa msamaha wa rais wanarudi uraiani, ni faida za kuwa rais, unafanya kile kinachokupendeza ikiwa tu kinaruhusiwa kikatiba na sheria. Wanarudi na kukuta mabadiliko mengi na mengine ni yale yale.
Kwako Tumosa (umebadili avatar-cute as always) na our very own makaveli10 papa mopao muzee ya tukutuku na makapuku wote nawatakia mwendelezo mzuri wa wikend. Upendo na uungwana ndo uwe imani yetu
Wala usihofu akiongea Shululu nmeongea mieAahh.. shemeji tuheshimiane bhana, ina maana mie na ukubwa wangu huu siwezi kusema au kuandika shululu mpaka wewe unisemee!!![]()
![]()
Mie nimekwambia wewe uniambie we unaniambia shululu, which is which shemela..
Basi shemeji!!Wala usihofu akiongea Shululu nmeongea mie
Hujambo weweAhsante ndugu yetu.
Miss you much
Sijambo bibie, vipi hali yako mpendwa!?Hujambo wewe
Kwa kweli naziona neema za AllahSijambo bibie, vipi hali yako mpendwa!?
Mashaallah!! Allah akujaze neema zake zaidi ndugu yangu.Kwa kweli naziona neema za Allah
AminMashaallah!! Allah akujaze neema zake zaidi ndugu yangu.
Miss you too sweetheartMiss you much