moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,152
- 770,272
Hahahahaha , jaribu kuonja mkuu tujue kama zina sumu au laaHazina sumu kweli hizi, maana ukiona mpaka nyani anamruhusu mjomba moo kuchukua ndizi mbivu ujue kuna walakini..
Hahahahaha , jaribu kuonja mkuu tujue kama zina sumu au laaHazina sumu kweli hizi, maana ukiona mpaka nyani anamruhusu mjomba moo kuchukua ndizi mbivu ujue kuna walakini..
Asante, nawe piaAmina..usiku mwema ndugu
...hapa nimekaa mjini kabisa (tunapaita center) kwenye saluni ya mke wa anko wangu (mama D), hapa ! Huyu ni mke wake wa kusingiziwa wanaishi pamoja ila sio DaslamaAsee kumbe uko mjini!!!, karibu kichakani mkuu
Safi sana, mi nipo hapa mkuu...hapa nimekaa mjini kabisa (tunapaita center) kwenye duka la mke wa anko wangu! Huyu ni mke wake wa kusingiziwa wanaishi pamoja ila sio Daslama
![]()
Na huku tulipo tunasumbuliwa sana na hawa jamaa...hapa nimekaa mjini kabisa (tunapaita center) kwenye saluni ya mke wa anko wangu (mama D), hapa ! Huyu ni mke wake wa kusingiziwa wanaishi pamoja ila sio Daslama
![]()
Plums sijawahi kuzipenda japo yanaonekana mazuri.Safi sana, mi nipo hapa mkuuTunashughulika na mambo haya mkuu
na haya![]()
![]()
Hahahaha, shghuli yake si ya kitoto. Unaweza kuomba poooPlums sijawahi kuzipenda japo yanaonekana mazuri.
Hongera sana mdau, mimi mpunga uwe kwenye sahani sio shambani

Sabato Njema Makapuku
Naamini Mungu akija weekend wengi sana tutaingia mbinguni maana Ijumaa watu tunaenda kupiga swala wazee wa kujibidua, Jumamosi wataalamu wa kande na viporo wanasali, Jumapili ma cannibal (wala nyama na damu) wanasali pia..
Hapa basi kuna wengine wanajipanga kuniombea kuwa nakufuru, sahau sala zako, saa hizi nimelewa hazitasikilizwa

Nzuriii umeamshwajeeHabari za kuamka kapuku wote
Mshikajiii
Thanks Obe
Kweli umelewa ukizinduka utajiombea mwenyewe ...Mungu akubarikiSabato Njema Makapuku
Naamini Mungu akija weekend wengi sana tutaingia mbinguni maana Ijumaa watu tunaenda kupiga swala wazee wa kujibidua, Jumamosi wataalamu wa kande na viporo wanasali, Jumapili ma cannibal (wala nyama na damu) wanasali pia..
Hapa basi kuna wengine wanajipanga kuniombea kuwa nakufuru, sahau sala zako, saa hizi nimelewa hazitasikilizwa

Hahahaha Obe ,mmmh huwa nakutafakari sana..Mungu akupe maisha marefu sana...hapa nimekaa mjini kabisa (tunapaita center) kwenye saluni ya mke wa anko wangu (mama D), hapa ! Huyu ni mke wake wa kusingiziwa wanaishi pamoja ila sio Daslama
![]()
Njema za wwHabari za kuamka kapuku wote
Kweli umelewa ukizinduka utajiombea mwenyewe ...Mungu akubariki![]()