Makapuku Forum

Makapuku Forum

Haya, matunda yenu haya hapa
b842aa8b2fd2891b56650094db1d61c1.jpg
Wanakuja wenyewe.
 
Muziki: Happy Birthday Nyagei

...nimeiona humu ndani na kwa vile Nyagei ni mtaasisi mwenzangu, nimeiona isiwe shida nikitumia kipengele hiki kumtakia hongera nyingi wakati anapokumbuka tarehe ya leo miaka anayoijua yeye alipozaliwa. Leo ni siku yako mdau na hongera sana. Ujue wewe ni mtu mzuri sana na unaposheherekea leo basi jua kabisa KF iko pamoja na wewe.

Jamani tusimsumbue Nyagei, leo yupo kwenye siku yake ya mwezi wa december. Hongera zaidi kwa wote ambao mnaona siku zenu mwezi wa 12. Siandiki mengi kwako maana kwanza kabisa najua, ulituweka wazi humu kuwa muziki unaopenda ni wa Jazz na George Benson ni mwanamuziki unayemfurahia, hongera tena na tena.

Muziki sasa, kusindikiza Birthday ya mdau mwenzetu tundomboleke na kisha tutulie kwa jazz

Happy bord-date Nyagei, Jukwaa hili ni zuri sana kwa kuwa wewe upo hapa

HTTPS9tZWRpYS50ZW5vci5jb20vaW1hZ2VzL2IzOTk4NzgwMDZjYWViYzM4YWI4YWZlMzNjNGRkNTI3L3Rlbm9yLmdpZgloglog.gif

na huyu ni GB unayevutiwa naye zaidi

Happy Born Day Nyagei...Asante Obe Ubarikiwe
 
..asante BH, nimemuandikia Nyagei maana niliona umemuwish mapema asubuhi, asante kwa kutujulisha. Nashukuru kwa kunitakia mibaraka mingi nami kwa uzito huo huo nakutakia mazuri mengi na zaidi unipende basi jamani. (NB: aliyeandika haya maneno madogo anaweza asiwe mimi, mnajua kabisa naamini)

Hujambo lakini?
 
Fyuuumbaaafyuuu zaaaakooo na hakupendi ng'oo
 
Asomba tukutuku
Asomba lai lai..
 
Fyuuumbaaafyuuu zaaaakooo na hakupendi ng'oo

...eeeh, umeanza lini kumsemea?
Husna mpenzi wangu mwenyewe, kumbe na wewe umeviona hivyo vimaandishi vidogo, nimeshangaa sana vimeingiaje hapo kwenye maandishi yangu, kuna watu wanataka kutugombanisha, niamini mimi yaani hata kama nikiandika siwezi kuwa mimi maana mimi ni wewe tu na unalijua hilo. yaani wewe navyokupenda ukikohoa mimi ndo natema
 
..asante BH, nimemuandikia Nyagei maana niliona umemuwish mapema asubuhi, asante kwa kutujulisha. Nashukuru kwa kunitakia mibaraka mingi nami kwa uzito huo huo nakutakia mazuri mengi na zaidi unipende basi jamani. (NB: aliyeandika haya maneno madogo anaweza asiwe mimi, mnajua kabisa naamini)

Hujambo lakini?
Kho kho kho
 
...hili linyimbo huwa nalisikiliza kila wakati maana mopao katisha mbaya afu kuna kale kasauti ka huyo mdada mambo ya chukuchuku yaani ukiwa high kichwani unaweza kujikuta unamwambia mama mkwe acheze kidogo chukuchuku kama umeenda kuwasalimia ukweni
Mie ndio maana sipendi kukaa karibu na mama mkwe, waweza jikuta unabambia bure.. mopao hapa alipiga ngoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom