Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
![]()
![]()
hv binamu unajua wanaongelea nn
...unafikir hata najua basi, mimi nimechangia tu potelea mbali.
Kwani wanaongelea nini hebu dadavua nielewe
![]()
![]()
hv binamu unajua wanaongelea nn
...mimi kwako najijua full gundu, wakikukosea wengine zigo lote naangushiwa mimi, mbaya zaidi nawekewa na mipaka kabisa hakuna maji wala juice! Maji ni uhai usiwe unanifanyia hivyo, BlessedHope hatafurahia najua (au na yeye anakuungaga mkono vyenye unanifanyia)





full gundu ila binamu wewe
Hvyo hvyo ntakupokea huna haja ya limkorogo, usije kukorogeka bure, al muhim moyo wako unipokee.



kibonge cheusiii kifupi kama kipipa ebu niache mie maka usije ukanianzishia thread au kunisema kwa mafumbo
Kila siku mambo ni hizo hizo makaSio ujitahidi ufanye hvyo..
We kna kwa ajili ya watu wachache unahukumu wengi.
Hawa wenza wenyewe wa siku hizi hawaaminiki.. aidha akupunguzie ama akuongezee stress.



Asanteee kwa kulitambua
Na siwezi kuwa fake binamu mm ni shunie nitabaki kuwa hivyo nilivyo...hautaweza, wewe endelea hivyo hivyo, ndo unapendeza, ukifata wanayokushauri utakonda bure
Ye si ataangalia sura kwani atzangalia na kwingine![]()
![]()



kwingine wapi huko
Waenjoy salama ndio siweki tena muwe na Amani ya BwanaYe akipandisha wenzie wana enjoy ye hajui
Humu viti kibao, karibu mkuu.OK, nimeona viti wazi nilidhani kuna walionyanyuka kisha warudie viti vyao. Nitatafuta kimoja nikalie nisikize hotuba zenu wakuu
Sasa hivi wala hamtaniona naongea kitu nikija napiga story nasepa sina cha kuniudhi humu na story sitawekaHalafu nishawahi kumwambia.. wenzie wanamfanyia kusud kwakuwa vile anavyopandisha migadhabu yake wenzie kwao burudani tupu..
Hhmm... Shunie ake! Haya nisamehe mie, nimekosa uniwie radhi mpendwa..
![]()
![]()
![]()





kibonge cheusiii kifupi kama kipipa ebu niache mie maka usije ukanianzishia thread au kunisema kwa mafumbo
Me mzima sana karibuNjema shunie, hofu kwako
Sijasema usiongee ongea ni haki yako, lakin inabidi ujue lengo la mwenzako, wenzako wanafanya kusudi unapovimba wanafurahiMaka hivi nilitakiwa nisiongee eenh me ni mtu poa sana lakini mtu akikosea kitu lazima aambiwe
MfyuuuuuuuMuziki: Ongea, Okoa Maisha
...u khali gani wewe kapuku tunayethaminiana bila kuaminiana maana kuaminiana ni jambo moja, tofauti kabisa na kuthaminiana na ndo maana unakuta mke na muwe hawachangii mswaki, yaani wanaingiliana maungoni, midomoni na kote unakojua kuonesha wanathaminiana lakini kwenye mswaki hawaaminiani kabisa. Ndo hivyo bhana, maisha yetu ni full changamoto na ukijidai kuyawekea changabaridi basi utakachopata ndo utajua kwanini nyavu nzuri ni ile yenye matundu na si matobo.
Leo naandika mada ngumu, sio ngumu kwa ugumu bali ngumu kwa sababu hatupendi kuiongea, kujiua. Yeah, suicide ndo kujiua kwa kiswahili. Inakadiriwa kwa mujibu wa WHO (2017) watu karibia ya 800elfu, lakini nane hiyo hujiua kila mwaka na nchi zinazoendelea ndo zina namba kubwa ya wanaojiua. Kujiua ni sababu kubwa zaidi ya vijana wenye umri wa miaka 19-29. Kujiua ni tendo linalosababishwa na ugonjwa wa akili, msongo na sababu kadha wa kadha. Kama binadamu tuliokamilika tunapitia mengi hadi kufikia hapa tulipo leo, wengi tumewaza kujiua na kupuuzia si kwa sababu tuna akili kuwazidi wanaochukua maamuzi haya bali tulijipa nafasi ya kuongea na walio karibu yetu. Wengi wa wanaoamua kujiua ni kwa sababu hawakujipa nafasi ya kukaa na kuongea na wanaowajali, waliamua kukaa kisiwani, peke yao, wakamezwa na giza.
Kujiua kunazuilika, jipe nafasi kama sio wewe au mimi basi kuna mmoja tunamfahamu na tuko karibu naye, tuongee kwa kujaliana ili kuondoa ugonjwa wa kujiua, maana kujiua kunatibika kwa kuongea na kuona kuwa unathaminiwa hata kama huaminiki.
Muziki sasa, nimeongea na mjomba wangu, mengi tu kuhusu mwaka unavyoisha na nini tufanye kuwa na wakati mzuri wakati tutakapoenda kutembelea familia mwisho wa mwaka, ila tatizo la anko sasa hakuwa wazi alimung'unya maneno pale nilipomuuliza kama ataenda na aunt yangu mnayemjua. Niliuliza sababu niliona text ikimwambia CM kuwa ajiandae na safari, dada yake ambaye bahati mbaya ni mama yangu ana kazi kwa huyu kaka yake. Furahia muziki na tambua kabisa Jukwaa hili ni sehemu nzuri kwa sababu wewe uko hapa, bila wewe hata mimi nisingekuwa hapa maana sichangamani na wasamalia mimi myahudi wa kuchora
Si ndo hapo...atakayekuombea ban nambanish afu nakuunbanish wewe anko, haya mambo ya ukoo wasichangaye habari
...unafikir hata najua basi, mimi nimechangia tu potelea mbali.
Kwani wanaongelea nini hebu dadavua nielewe






Kho kho kho kho in sakayo voicekibonge cheusiii kifupi kama kipipa ebu niache mie maka usije ukanianzishia thread au kunisema kwa mafumbo