Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unanionaje kwanza shunie, ama unanichukuliaje.. kwamba na mimi nina akili fupi kiasi cha kufanya hayo, why ufikiri hvyo, kwani mimi nimekamilika sana kiasi ukifika utaniona mkamilifu sina kasoro.. binadamu tumeumbwa hvyo ukose kasoro, umejiumba wewe.. nmefahamiana na watu kadhaa humu jf, wengine ni vituko mnoo, lakin sijawahi kufikiri kufanya upuuzi huo.
...blaza ulichokula leo na kesho ule ili hizi busara ziendelee kuwepo, sio kama anko wangu yeye akiamka tu anaenda kusukutua chooni unategemea ataongea jambo usikasirike, thubutuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom