makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,962
- 104,375
Sio ujitahidi ufanye hvyo..Nitajitahidi kama nitaweza
We kna kwa ajili ya watu wachache unahukumu wengi.
Sio ujitahidi ufanye hvyo..Nitajitahidi kama nitaweza
Hawa wenza wenyewe wa siku hizi hawaaminiki.. aidha akupunguzie ama akuongezee stress.Pole na masahibu shemela
Jtahidi sasa upate mwenza akutoe mastress hayo![]()
![]()
Jitahid uweze kutawala hasira zako.
Nitajitahidi kama nitaweza
Ye si ataangalia sura kwani atzangalia na kwingineMkorogo napakaje mke mwee mtu mweusi kama rami si ndio mwanzo wa kuwa na rangi pepsi mirinda jaman

Hakuna namna......unataka awe mkoloni wa hisia zake? Ukoloni si ulikatazwa?
Ye akipandisha wenzie wana enjoy ye hajuiJitahid uweze kutawala hasira zako.
...mimi kwako najijua full gundu, wakikukosea wengine zigo lote naangushiwa mimi, mbaya zaidi nawekewa na mipaka kabisa hakuna maji wala juice! Maji ni uhai usiwe unanifanyia hivyo, BlessedHope hatafurahia najua (au na yeye anakuungaga mkono vyenye unanifanyia)

Huyo tumuombee ban ndo dawa ykeNimeongea sana naambiwa nina hasira za karibu

..marhaba anko, vipi umeiona ngao ya maji imesababisha ngao ya pilipili?

Shemela hii haikuwa yako lakini.. ungefumba macho tuu.
aibu nmeona mie
Mnamchanganya...hautaweza, wewe endelea hivyo hivyo, ndo unapendeza, ukifata wanayokushauri utakonda bure
Anko obe ni moderatorHuyo tumuombee ban ndo dawa yke![]()
![]()
SITAKIMzima weew

Halafu nishawahi kumwambia.. wenzie wanamfanyia kusud kwakuwa vile anavyopandisha migadhabu yake wenzie kwao burudani tupu..Ye akipandisha wenzie wana enjoy ye hajui
Halafu nishawahi kumwambia.. wenzie wanamfanyia kusud kwakuwa vile anavyopandisha migadhabu yake wenzie kwao burudani tupu.. ila tu naona hakuelewa somo labda umwambie weweYe akipandisha wenzie wana enjoy ye hajui
Sio ujitahidi ufanye hvyo..
We kna kwa ajili ya watu wachache unahukumu wengi.

...hautaweza, wewe endelea hivyo hivyo, ndo unapendeza, ukifata wanayokushauri utakonda bure
