Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Na nyie bado mpo na story ??mm ni utan wangu na sakayoKila siku mambo ni hizo hizo maka
Na nyie bado mpo na story ??mm ni utan wangu na sakayoKila siku mambo ni hizo hizo maka
Ndio hawanioni tenaSijasema usiongee ongea ni haki yako, lakin inabidi ujue lengo la mwenzako, wenzako wanafanya kusudi unapovimba wanafurahi
Unanionaje kwanza shunie, ama unanichukuliaje.. kwamba na mimi nina akili fupi kiasi cha kufanya hayo, why ufikiri hvyo, kwani mimi nimekamilika sana kiasi ukifika utaniona mkamilifu sina kasoro.. binadamu tumeumbwa hvyo ukose kasoro, umejiumba wewe.. nmefahamiana na watu kadhaa humu jf, wengine ni vituko mnoo, lakin sijawahi kufikiri kufanya upuuzi huo.kibonge cheusiii kifupi kama kipipa ebu niache mie maka usije ukanianzishia thread au kunisema kwa mafumbo
Ila wewe hapanaSasa hivi wala hamtaniona naongea kitu nikija napiga story nasepa sina cha kuniudhi humu na story sitaweka
Yaishe shunie akee..Kila siku mambo ni hizo hizo maka
Nikuletee kinywaji gani au ndio unanicheka nilivyoKho kho kho kho in sakayo voice
Muhimu asipasukeSijasema usiongee ongea ni haki yako, lakin inabidi ujue lengo la mwenzako, wenzako wanafanya kusudi unapovimba wanafurahi
Waenjoy salama ndio siweki tena muwe na Amani ya Bwana
Hilo liko uchi mbona.Asanteee kwa kulitambua
AsanteeeeeUnanionaje kwanza shunie, ama unanichukuliaje.. kwamba na mimi nina akili fupi kiasi cha kufanya hayo, why ufikiri hvyo, kwani mimi nimekamilika sana kiasi ukifika utaniona mkamilifu sina kasoro.. binadamu tumeumbwa hvyo ukose kasoro, umejiumba wewe.. nmefahamiana na watu kadhaa humu jf, wengine ni vituko mnoo, lakin sijawahi kufikiri kufanya upuuzi huo.
Shunie si nimekuomba msamaha.. nisamehe mie kwa ushauri wangu ndugu yangu.Sasa hivi wala hamtaniona naongea kitu nikija napiga story nasepa sina cha kuniudhi humu na story sitaweka
Sijasema usiongee ongea ni haki yako, lakin inabidi ujue lengo la mwenzako, wenzako wanafanya kusudi unapovimba wanafurahi
Mfyuuuuu...hivi kuweka nini mnaongelea, maana sijaelewa mnaongelea nini? Tatizo langu huwa mnanificha mambo mengi nakuwa wa mwisho kujua.
Na huyu Amani ya Bwana ni nani? Ndo kakucopy story nzima akatukasirisha sisi washikadau
AhahahhhShunie si nimekuomba msamaha.. nisamehe mie kwa ushauri wangu ndugu yangu.
Muziki: Ongea, Okoa Maisha
...u khali gani wewe kapuku tunayethaminiana bila kuaminiana maana kuaminiana ni jambo moja, tofauti kabisa na kuthaminiana na ndo maana unakuta mke na muwe hawachangii mswaki, yaani wanaingiliana maungoni, midomoni na kote unakojua kuonesha wanathaminiana lakini kwenye mswaki hawaaminiani kabisa. Ndo hivyo bhana, maisha yetu ni full changamoto na ukijidai kuyawekea changabaridi basi utakachopata ndo utajua kwanini nyavu nzuri ni ile yenye matundu na si matobo.
Leo naandika mada ngumu, sio ngumu kwa ugumu bali ngumu kwa sababu hatupendi kuiongea, kujiua. Yeah, suicide ndo kujiua kwa kiswahili. Inakadiriwa kwa mujibu wa WHO (2017) watu karibia ya 800elfu, lakini nane hiyo hujiua kila mwaka na nchi zinazoendelea ndo zina namba kubwa ya wanaojiua. Kujiua ni sababu kubwa zaidi ya vijana wenye umri wa miaka 19-29. Kujiua ni tendo linalosababishwa na ugonjwa wa akili, msongo na sababu kadha wa kadha. Kama binadamu tuliokamilika tunapitia mengi hadi kufikia hapa tulipo leo, wengi tumewaza kujiua na kupuuzia si kwa sababu tuna akili kuwazidi wanaochukua maamuzi haya bali tulijipa nafasi ya kuongea na walio karibu yetu. Wengi wa wanaoamua kujiua ni kwa sababu hawakujipa nafasi ya kukaa na kuongea na wanaowajali, waliamua kukaa kisiwani, peke yao, wakamezwa na giza.
Kujiua kunazuilika, jipe nafasi kama sio wewe au mimi basi kuna mmoja tunamfahamu na tuko karibu naye, tuongee kwa kujaliana ili kuondoa ugonjwa wa kujiua, maana kujiua kunatibika kwa kuongea na kuona kuwa unathaminiwa hata kama huaminiki.
Muziki sasa, nimeongea na mjomba wangu, mengi tu kuhusu mwaka unavyoisha na nini tufanye kuwa na wakati mzuri wakati tutakapoenda kutembelea familia mwisho wa mwaka, ila tatizo la anko sasa hakuwa wazi alimung'unya maneno pale nilipomuuliza kama ataenda na aunt yangu mnayemjua. Niliuliza sababu niliona text ikimwambia CM kuwa ajiandae na safari, dada yake ambaye bahati mbaya ni mama yangu ana kazi kwa huyu kaka yake. Furahia muziki na tambua kabisa Jukwaa hili ni sehemu nzuri kwa sababu wewe uko hapa, bila wewe hata mimi nisingekuwa hapa maana sichangamani na wasamalia mimi myahudi wa kuchora
Haya sawa.Ndio hawanioni tena
Mie simo....kuongea aongee sana ila asipige kelele maana hakuna haki ya kupiga kelele
Mapaund yenyewe umegoma kuja kuyachukua.zitatoka kwenye mapound mfyuuuuu