Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
wewe jikute tuNaitwa husna
wewe jikute tuNaitwa husna
Mwambie nimemuhamu mnoooNimemuonaa ngoja nibonge nae
Alikuwa kafichwa wapi sijui..Kumbe alikuwa haonekani?
Toothpick hiyo ya kutolea nywele zitakazonasa katika meno au.. kwani mie naing'ata ile si nai....ajiandae kuja na toothpick akija kuuchukua.
Hivi mnaongelea nini kwanza, mawazo yangu yashaanza kwenda magunila pub panauzwa bia na chapati hakuna supu
tuMie sio mzembe sijawahi tumia wala kuwaza kutumia upuuzi. Niko fiti zaidi ya fiti,we muache aje kama hajajitekesha mwenyewe kigamboni...`
....kwa kuwa unawakilisha nchi ya kigamboni, pitia unga wa kongo usiharibu sifa ya ubalozi wetu nchi ya kigeni

Unga wa kongo nani atavumilia masaa yupo kifuani tu hashuki umeambiwa kuna mashindano au
calm down mamii.. hiyo kitu ni starehe ya nin kukomoana, nataka kukuonesha vitu tofauti..Hhmm.. shunie kumbe we ni kibongeBinamu anitake radhi jaman sio kwa mtumbo huo na ukibonge wangu sijafikia hivyo jaman

Hapana shunie akee.. nacheki boli mamiiMaka akee usiniambie umeenda kulala jaman au simu imezima
Muziki: Tamka Sawasawa Andika Tofauti
...nataka nikupe siri moja kuhusu kesho, najua ulikuwa hujui na kama ulikuwa unajua basi sio mbaya nikishare na wasio na taarifa. Si unajua information is power wanasemaga wanaoongea lugha zaidi ya hii tunayoipenda. Kwa taarifa yako tu, kesho ni Jumatano. Na hii kesho ni siku nzuri kujiandaa na siku inayofuata na siku inayofuata ikifika ujue kambisa Ijumaa imekaribia. Siku juu ya siku.
Asante makaveli10 na aunt yangu asiyenipenda Shunie kwa kutusogoza mchana na wakati huu, ninyi ni watu poa sana na tunawapenda, well, nisiwasemee wengine, mimi nawapenda na mnalijua hilo. Kwa makapuku wote, mjue uwepo wenu huwa kunalifanya jukwaa hili kutokuwa mfano bali kuwa origin ya majukwaa yote yanayoanzishwa kuiga. Tutabaki kuwa makapuku na hilo halina ubishi, wavue au wavuliwe, wakae uchi au wabaki watupu, waongee au wanyamaze. Ungependa kusikia nini kingine usiku huu?
Muziki sasa, wiki jana nilikuwa Ruangwa nakula pilau na sasa nimerudi Mtwara nimejipumzisha muda huu baada ya shughuli kubwa ya kushehereheka.
Ongezea muba...Naitwa husna
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza kuiona ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.

Njema za uzima ubarikiweWahenga habari za jioni
Nice place asante ubarikiwe
Hahaha...jameni, kama kuna mtu kamuona anko wangu Lyon Lee amwambie nimeshampata yule mganga mtoa vibusha aje tu alipe hela
![]()
...kwetu hapa Ntwara, maana yake ninayo mimi mwenyewe. Na kama ulivyosema, kila mmoja abaki na maana yake. Ngoja nimuite BlessedHope aje na yeye aseme maana yake

Ma MchungajiHahaha
Niko hapa mwanangu ,za uzima ubarikiwe mwanangu ...miss you tooNimemmis mama
Abee za uzima?Mungu akubarikiMa Mchungaji