Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Mimi tena roho mbaya au ulimi wako uliponza kichwa muwe na akiba ya maneno jaman aje hapa ajionee atajisikiajeRoho mbaya yako tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi tena roho mbaya au ulimi wako uliponza kichwa muwe na akiba ya maneno jaman aje hapa ajionee atajisikiajeRoho mbaya yako tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuwazima mkuuMakapuKu Salam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mm ni bonge lakini sio wa hivyo jamaan mpaka mtumbo umeshuka
`[emoji23] [emoji23] [emoji23] Teh teh teh.. litakuwa jambo kubwa zaidi.. napokea kwa mikono miwili..
Pamoja na ulimi, Mie nakuongezea na makaveli mwenyewe ukukuruke nae[emoji8] [emoji8]
Naona unataka kulibebea bango ....muite umwambieMimi tena roho mbaya au ulimi wako uliponza kichwa muwe na akiba ya maneno jaman aje hapa ajionee atajisikiaje
Unga wa kongo nani atavumilia masaa yupo kifuani tu hashuki umeambiwa kuna mashindano au`
....kwa kuwa unawakilisha nchi ya kigamboni, pitia unga wa kongo usiharibu sifa ya ubalozi wetu nchi ya kigeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Akafie mbali
Hayanihusu mie wala siwezi bebe bango ambacho hakinihusuNaona unataka kulibebea bango ....muite umwambie
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u make me laugh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mm ni bonge lakini sio wa hivyo jamaan mpaka mtumbo umeshuka
Kujisalimishaa muhimu kwa wakati huu unamwaga mboga wanabeba ugali ankaliii...nilijua umemwaga umeamua kujisalimisha kule kwa siku zote?
[emoji4] [emoji4] [emoji4]`
....kwa kuwa unawakilisha nchi ya kigamboni, pitia unga wa kongo usiharibu sifa ya ubalozi wetu nchi ya kigeni
Binamu anitake radhi jaman sio kwa mtumbo huo na ukibonge wangu sijafikia hivyo jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u make me laugh
Udhamini unapitia kwangu leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu obe nataka nyimbo mie nataka kulala naomba lea ya kassim mganga
Kwahiyo ukipitia kwako ndio nyimbo siwekewi au inakuaje tenaUdhamini unapitia kwangu leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]