moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,173
- 770,297
...kwa sisi tunaopenda kufunua kurasa za kitabu huu mtumbo ndo safi kabisa, unalamba vidole tu na kuanza kufunua kupata dhumuni la mwandishi

...kwa sisi tunaopenda kufunua kurasa za kitabu huu mtumbo ndo safi kabisa, unalamba vidole tu na kuanza kufunua kupata dhumuni la mwandishi

Kwema asiee, vipi hali ya hewa upande huo?Tetramelyz kwema mkuu
Mkuu nitafutie kiti nipate kuwepo hapa jukwaani nisikilize hotuba zenu wahengaAmin kiongozi.
Hali ya hewa hapa ni joto mkuu ingawa kuna manyunyu furani hiviKwema asiee, vipi hali ya hewa upande huo?
Ndio tunaiita kipupwe au kupwa?Hali ya hewa hapa ni joto mkuu ingawa kuna manyunyu furani hivi
Poa shemela za wwHabari za mida hii waungwana..
Shukrani mkuu,pole na majukumuSalaam Tumosa
Karibu tenaNakuja Rasmi humu, nilipotea kidogo
NimekaribiaKaribu tena
Ni kusi inayopelekea kupwa. Kipupwe ni mpaka juneNdio tunaiita kipupwe au kupwa?
Safi tu mkuu,Shukrani mkuu,pole na majukumu