Makapuku Forum

Makapuku Forum

Miss u mo shunie ake[emoji8] [emoji7] [emoji8] ..

Hizi pound naona unataka ziniozee mikonon shunie, ingekuwa tunatuma kwa tigopesa zaman ungekuwa ushazikoga, au unazivutia kasi kwenye sikukuu, kumbuka ya kaisari hayana adabu, matatzo yakiona pound tu ndio yanataka sifa, yanatiririka kama mvua ya kichawi milimani...[emoji23]
Maka zinakuozeaje jaman we endelea kuniwekea nitazichuku kwenye tar 20 na kitu hivi huu mwezi natakiwa niwe na mahela sana [emoji4][emoji4]
 
Mie siwez kutunza pesa kama wazaramo wanavyomtunza mwali siku ya ngoma[emoji23] [emoji23]

Kwangu pesa yake matumizi bhana, siwez kuwa na visenti nihangaike kuvitunza, yaani nihangaike kuzisaka halafu nihangaike tena kutunza.. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom