Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Usihofu Nyumba Ikiwa Na Nyufa, Inapumua

...nimekumbuka kitu kilichotokea wikend ambacho kiukweli kimenifanya nikumbuke mengi ya zamani. Ujue nini, nilikuwa na wieknd nzuri kiasi na ninakusalimia maana wewe ni mtu mzuri kupata kufahamiana nawe. Hongera kwa mimi kufahamiana na wewe. Jipongeze pia.

Kwanini ni mwanzo wa ugomvi hivyo sitasema kwanini wikend sikuwa mimi. Mana naweza nikajikuta nagombanisha nafsi yangu bila sababu na wa kuniwekea dhamana ambaye ni anko wangu hayupo, katekwa na penzi la aunt yangu. siwezi kumlaumu maana alipendwa kwa bahati mbaya na aunt yangu ambaye mnamjua humu. Ndiyo, huyu huyo unayemuwaza saa hizi.

Muziki sasa, nikutakie wiki nzuri ya December na unajua mvua za December zina mengi. Na kiukweli kama niliandika kitu wikend basi sikuwa mimi, niamini, zilikuwa ni zile nyufa za kuifanya nyumba ipumue

anigif_enhanced-buzz-20909-1428693325-15.gif
Binamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
I didn't deserve such an insult anyway I understand what kind of a person u're. But all I meant is the issue of cracks on walls of the buildings at UD are being covered up. Anyway if at all I said something u weren't pleased with am sorry but didn't meant anything bad.

..oh, don't take it personal, if the word 'Rubbish' you wrote, was not meant for us/me (Makapuku Forum) then accept my apologies and karibu sana humu. Kama kulikuwa na makosa ya kuelewana basi humu ni sehemu nzuri kuwa. BTW, habari za wikend
 
Thats right, am happy we found a common ground. And thanks for the welcome bro.
 
...I deleted the post, I was wrong and December should not be this hard and maybe the skeleton 'rubbish' thing be edited and give more 'meat' so that my anko can not understand the way I understood
 
Asante binamu mwezi wetu huu watoto wazuri
 
Nyumba ikiwa na nyufa usijali ni expansion joint
 
...I deleted the post, I was wrong and December should not be this hard and maybe the skeleton 'rubbish' thing be edited and give more 'meat' so that my anko can not understand the way I understood

Thats right, am happy we found a common ground. And thanks for the welcome bro.

..oh, don't take it personal, if the word 'Rubbish' you wrote, was not meant for us/me (Makapuku Forum) then accept my apologies and karibu sana humu. Kama kulikuwa na makosa ya kuelewana basi humu ni sehemu nzuri kuwa. BTW, habari za wikend

I didn't deserve such an insult anyway I understand what kind of a person u're. But all I meant is the issue of cracks on walls of the buildings at UD are being covered up. Anyway if at all I said something u weren't pleased with am sorry but didn't meant anything bad.
Mie hapa ndio mnanivuruga kuongea kiinglish wakat shule hamkunipeleka nyie..

Mwaipungu karibu mkuu
 
Maka akee miss u mzee wa mapound
Miss u mo shunie ake ..

Hizi pound naona unataka ziniozee mikonon shunie, ingekuwa tunatuma kwa tigopesa zaman ungekuwa ushazikoga, au unazivutia kasi kwenye sikukuu, kumbuka ya kaisari hayana adabu, matatzo yakiona pound tu ndio yanataka sifa, yanatiririka kama mvua ya kichawi milimani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom