Makapuku Forum

Makapuku Forum

395997023478621dc736beb34f3c12e1.gif
 
...oh, hiyo ngumu sana upande wangu kwa hiyo hata maombi yangu yatakuwa magumu kukufanya ufanikiwe. Wanaoijua hiyo EI watakuwa washakuombea. Ukimaliza paper na ukaanza kufanya you know, like internship, nitakuomba uje unifanyie wiring (ina tofauti na EI?) kwenye kibanda changu , umeme wa REA unakuja
We omba tu Obe,
 
... Haiwezekani moneytalk dhamana bhana, atakuwa katako maswali yote ipasavyo..

...unajua unaweza kusema anatako wakati hujamuona. Maana kufanya tako liwe na ufanisi inahitaji juhudi kubwa sio kula tu, lazima ujiandae vizuri kwenye pepa ndo tako utaona linafanya kazi

Angalizo: Tako=tackle (kivumishi cha kuonesha kukabili maswali ya mtihani), usijaze maana chafu
 
Hapana mimi japo sijamuona moneytalk, ila naamin anatako vizuri maswali yote ya mtihani
 
...unajua unaweza kusema anatako wakati hujamuona. Maana kufanya tako liwe na ufanisi inahitaji juhudi kubwa sio kula tu, lazima ujiandae vizuri kwenye pepa ndo tako utaona linafanya kazi

Angalizo: Tako=tackle (kivumishi cha kuonesha kukabili maswali ya mtihani), usijaze maana chafu
Hahaha,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom