Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Haha...sikuwa nakoroma, nilikuwa naota naendesha treni

Bora ulikuwepoShemela mbona cheko..
Najaribu kutoa msaada maana namuona ndugu yangu transcend maji yaishavuka shingoni sasa hiv atapiga vibaba..![]()
![]()

Jamaan ndio vizuri ninase makaWe shunie wee.. mie sipew hovyo hovyo, utanasa kama wachaw kwenye kuta za kanisa..![]()
![]()
![]()
AhahahhhhHawezi kunikuta, ntakuwa napambana na hali yangu.. nagalauka na mito kitandani.
Muziki: Hakuna Tofauti
...wikend inaendelea na kwa namna inavyoishiria basi utagundua kabisa hakuna jipya katika kuyaishi tunayoishi. Mambo ni yake yale na mapumziko ya leo huwa nakautaratibu ka kusoma vitabu na hadithi ambazo huwa zinawekwa humu Jukwaani, why, ni kwa sababu ninapenda kujifunza mengi na katika darasa ninalopata humu, nimegundua kitu kikubwa kimoja. Makapuku ninyini ni watu bora sana, yaani hata mjomba wangu pamoja na kutotulia kwake lakini kwa aunt yangu kafika , na ujue kuna tofauti ya kufika na kutulia inategemea tu na utakavyoyatumia maneno haya.
Muziki sasa, umegundua jumamosi huwa naandika aya mbili tu sababu sipendi kukuchosha maana hata mimi nina kazi ya kusoma, kupika na kuangalia katuni na huyu anayenihusu. Nakupenda kapuku na uwe na wakati mzuri wa mapumziko

Niwekee nyimbo mie binamu sitaki maneno....nyimbo inakuja muda si mrefu, najipanga niandike kitu gani ufurahi! Hebu nipe neno moja tu nianze kuandika ufurahie
Huu ndio ujentroman..
Mkuu agiza kilaji, hela ya vilaji vya bei kali sina ila kuonesha najali agiza hata komon mkuu haiwez kunishinda.![]()
![]()
kwenye ubora wakoLa arostohilo cheko veeep ndugu
Ebu niambie arosto yako mbona siielewi ya 3bomba auLa arosto
Tatu mzukaEbu niambie arosto yako mbona siielewi ya 3bomba au
Mom
Yaani weweeeeenimecheka kwa sauti 3bomba woyoooooooo
Ebu nigawe basiYaani weweeeee
Njoo uchukueEbu nigawe basi
Kunigawa na kuja kuchukua wapi na wapiNjoo uchukue