Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
SawaTeh
Pacha wake ujue
SawaTeh
Pacha wake ujue
Naomba basi jamaanKwanini asipende sasa.. mie sikutamanishi ujue.
Ni yale yale atarudi kwa id zake nyingineDaah
Mpaka alikuwa anakera
Woiiiii akija ndio niniSijui yuko wapi, naomba Mungu akuje
Huu ndio ujentroman..Sipendi nikuone ukiwa unalia tena.
Sitaki nione unashindwa kula tena.
Sitak nikuone upo off-mode..
I don't want ! Sitakiiii

Sasa huyo lee mwenyewe sijui kafukunyuliwa wapi huko, yuko kimya kama biashara ya chumvi.





salaam zakeHahamapenzi yasikie tu muhenga mie acha nijichekee nina ganzi na mapenzi
Nazifikishaje sasa..salaam zake
Nakupaje sasa shunie, njoo uzibebe.Naomba basi jamaan
HahaSasa huyo lee mwenyewe sijui kafukunyuliwa wapi huko, yuko kimya kama biashara ya chumvi.
This time am afraid!!!And we end up falling asleep while holding our hands together
He heHaha
Mwenyewe niko na ganzi kila kona
Sina mashaka nawe..litauzika sana shunie ndani ya nyumba tegemea habari zote

Ndo maana nakupendaHapana siwezi kuwa mchochezi.. hasa kwenu.
WoooiNi yale yale atarudi kwa id zake nyingine
Ahahahhh anaweza kupita kama guest woiiiii au anaweza siku akiingiaNazifikishaje sasa..
Kama kawaida mkuu.. mie ni mshika bunduki tangu enzi hizo.Mkuu.
Uko wapi ? Leo Arsenal na Man u
AkupendeWoiiiii akija ndio nini
Nakuja hivi upo wapi kwani nikujeNakupaje sasa shunie, njoo uzibebe.