Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
MfyuuuuuMmmh
MfyuuuuuMmmh
Uko poaSawa
Nimekumis[emoji7] [emoji7]
Binamu yangu mimi [emoji7][emoji8] santee huyu mtoto anaimba hii nyimbo mwanzo naanza kuiskiliza sijui kama yeye ndio aliyeimba halaf binamu nilikwambia sitaki maneno mie hayo maneno veep asiangalie yeyote hii nyimbo jamaanMuziki: Mdhamini Hataki Maneno
...nilikuwa naangalia soka hapa na kwa kweli game ilikuwa 'tamu' kifupi timu nayoishangilia imeshinda. Narudi kwenye muziki sasa maana mdhamini wa muziki wa wikend ambaye kwa bahati mbaya ni aunt yangu tunayempenda kasema hataki maneno na mimi siwezi kumjaza maneno maana kiukweli wikend hupaswi kuwa na stress na ndo siku ya kudelete na kudownload mambo mapya.
Mdhamini hataki maneno na hajataka hata kudedicate muziki kwa yeyote, so sikiliza at your own risk maana Shunie hataki maneno
Mie piaNimekumis
NdioUko poa
....BH, nimekumiss. Hujambo wewe, wikend hii.[emoji120] [emoji120]
Mom
I just need yo hug please!!! Missing you much!!!
Chezea arosto ya 3bomba unaweza kuwa chizi
Kuna kigagula mkuu anaitwa kisebengo.. nux huyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora na mie nipae, ujue vigagula hawana stelesi
Kweli.. ukubwa ndio huo.Asante
Ndo ukubwa huo
Muhimu... We mwenyewe si unajua.Bora ulikuwepo
Hizi vitu nina aleji nazo..!!...hiyo nyekundu ndo 3bomba kama mlikuwa hamjui
![]()
Muhimu... We mwenyewe si unajua.Bora ulikuwepo
Kama mwenyewe wataka kunasa, mimi ni nani mpaka niseme hapana.. karibuJamaan ndio vizuri ninase maka
Vibaya hvyo shunie, usinicheke mwenzio.[emoji23] [emoji23]Ahahahhhh
Ule wa kimataifa kabisa..[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] kwenye ubora wako
Shemela...Team popo