Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kapuku You will always be my family.

Wakuu, Muishi kama siku mnayoishi ndio siku yenu ya mwisho..

Play smart, and enjoy you weekend.

Muwe na wakati mwema .

...pamoja sana
dd3e4538a7b05d48d62668877c7ceee2.gif
 
Napenda watu kama nyinyi ukiwa strong kama hv utaishi maisha yako kwa furaha katika hali yoyote..

Nataman dunia nzima ningeiambukiza tabia n moyo wangi.. hasa katika mahusiano.
Yaan maka me nilivyo nitakupenda lakini nionyeshe drama zako nitakuchukia mara mia utajiuliza hivi huyu ni yule shunie halaf nakusahau dk sifuri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom