makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,871
- 104,084
Shemela mbona cheko..
Najaribu kutoa msaada maana namuona ndugu yangu transcend maji yaishavuka shingoni sasa hiv atapiga vibaba..

Shemela mbona cheko..

Ahahaa hapana maka naona gaby this gaby that woiiii nataka kumjua mie ndio naniiiiWe shunie wewe.. tulia kwanza au unataka kufanya kazi za UN!?
HahaUkiwa una maana gani sakayo..
Japo siafiki kwa maana niidhaniayo mie.
UsijaliSipendi nikuone ukiwa unalia tena.
Sitaki nione unashindwa kula tena.
Sitak nikuone upo off-mode..
I don't want ! Sitakiiii
Huyu anaweza akamfanya mtu ajitundike.Sio kwa uchochezi huo
Anajidai sana na mdomo wake mchafuHaha
Mpe salaam zangu sanaNdio
Makubwa haya nimekushika wapi mie pambana tu na hali yakoNiache Shunie...
Maka sio vizuri hata Mungu hapendi unavyonifanyiaTeh teh teh.. sio kwa kukutamanisha hvyo.
YaaniHuyu anaweza akamfanya mtu ajitundike.
Nimekuhamu zaidi..Mie sijambo kabisaa ujue
Nakuhamu tuuu...
Wapi lyion Lee

Yaani ilikuwa too muchAnajidai sana na mdomo wake mchafu
Upi jamaaan nataka gaby apate salaam zanguSio kwa uchochezi huo
Atakuwa kwenye uzi wake entertainmentMie sijambo kabisaa ujue
Nakuhamu tuuu...
Wapi lyion Lee
Nina mpango wa kufungua gazeti langu, nahisi kwenye sekta ya upekuz pekuz na udakuz patakufaa..Ahahaa hapana maka naona gaby this gaby that woiiii nataka kumjua mie ndio naniiii

Shemela mbona cheko..
Najaribu kutoa msaada maana namuona ndugu yangu transcend maji yaishavuka shingoni sasa hiv atapiga vibaba..![]()
![]()



mapenzi yasikie tu muhenga mie acha nijichekee nina ganzi na mapenziShemu tulia basi..Makubwa haya nimekushika wapi mie pambana tu na hali yako
HahaNimekuhamu zaidi..
Lyon lee sijui katekwa wapi mdogo wangu yule, adimu kuliko neno adimu lenyewe kwenye dictionary ya kichina!!![]()
![]()
Ahahahh ukijitundika ni ujinga wako mwenyewe unamuacha babe wako anampata mwingine anaendelea kumkulaHuyu anaweza akamfanya mtu ajitundike.