Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
aisee mambo yanaenda kapukuforum....Poa poa Plata
aisee mambo yanaenda kapukuforum....Poa poa Plata
Nani ana michepuko?![emoji15]Na michepuko yako utamwachia naniiiiii
[emoji1] [emoji1] kidogo tu sio sananaona unabebika
Shangaa na wewe..!!!kumbe ana MICHEPUKO?
Mh!La kwanza ...mara ya mwisho kufamaniwa ni lini?
Nikatalii tuUkafanye nini?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]....safari zangu unazijua mpenzi wangu, my pasua kichwa ninakuita heart fixer, unaniumiza kichwa huku ukiufanya moyo wangu kuwa na furaha muda wote.
Safari zangu za Lindi tutaenda wote mamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bhasi unachotaka kwa anko wangu utakipata
[emoji57] [emoji57] [emoji57]......mwanao kala barafu ya ndimu, anaungua ulimi.
Kwa yeyote asiyehusika: Maneno yafuatayo hapa chini kama hayakuhusu usinukuu, nitayakana sijaandika mimi, Asante kwa kusoma.
Umeshalala BH? Nakuja tuone namna ya kumsaidia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Woooooooooozaaaaaw
So mliishia wapi na Husna..?eti husobe?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jina halina hata swaga
Karibu sanaBarida mkuu
Shemela za miaka mingi?Za familia yangu nzuri sana shemela sijui wewe huko
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]...usichanganyikiwe, ni kama ngao ya kidonge na ngao ya maji
Mama mchuchu uko pouwa?Karibu sana
[emoji7] [emoji7][emoji57] [emoji57] [emoji57]
HahahahaSo mliishiwa wapi na Husna..?
Nafukua Kaburi tuu
Mama mch naona unafurahi tuu [emoji3][emoji3]Hahahaha