Salama kiongozi.. vip hali!?Mkuu
Za masiku?
Salama za wwNawasalimu makapuku wenzangu vp za weekend?
Shemela karibuMorng makapuku
Ahsante shemeji, vipi wajionaje na hali!?Shemela karibu
Namshukuru Mungu hali yngu njemaAhsante shemeji, vipi wajionaje na hali!?
Kwema mkuuSalama kiongozi.. vip hali!?
Sasa jee?Heee
Yamekuwa hayo
Tumosa hujamboNamshukuru Mungu hali yngu njema
Husna muba anakusalimia mkuusawa my Ex
Cjambo shemela hbr ya wkendTumosa hujambo
Nilimsalimia lini? Naaa...kwani nilishindwa kumsalkmia mie mwenyewe mpaka nikutume wewe?!Husna muba anakusalimia mkuu
Unaongea na simu au unaongea na Tumosa?Nilimsalimia lini? Naaa...kwani nilishindwa kumsalkmia mie mwenyewe mpaka nikutume wewe?!
FyuuuuUnaongea na simu au unaongea na Tumosa?
Shululu katingwa na majukumu yakipungua utamwona hapaNzuri bhana
Kaka yangu yuko wap
Husna muba anakusalimia mkuu
hahaha hata mimi namsalimu mwambie namsalimu