Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
SawaNafurahi kujua unanijua vizuri sana
SawaNafurahi kujua unanijua vizuri sana
Haha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe tena
Binamu asante sana [emoji8][emoji8] hapa nilipo umenifanya nijisikie raha kwa hizi nyimbo halaf nani kakwambia ujijumuishe hizi nyimbo ni kwa ajili yangu mm tu jaman hivi huwa huelewiMuziki: Mdhamini Kadhaminiwa
...sijataka kuandika kuhusu mdhamini wa muziki sehemu ya pili, si unajua huwa muda huu ni wa dedication tu, toka kwa mmoja kwa mwingine. Ndo hivyo bhana na kisa cha mimi kutotaka niandike ni sababu mdhamini kadhaminiwa sasa inamaana hakuna anayededicatiwa isipokuwa mdhamini mwenyewe. Ni kwa udhamini wa aunt yangu Shunie tuburudike na nyimbo hizi mbili na anawatakia wikend njema (sina hakika kama na mimi nimejumuishwa).
...na wimbo wa sidechick ni huu hapa, huu uende kwa ABJ
..oooh, kumradhi kitumbua si andazi, ukweli uko kwenye kilevi, wimbo wa main chick ndo huu hapa. Kuna tofauti kati ya sidechick na mainchick, mjomba lazima uelewe
Ahahahhh na kumsemea lazima umsemeeHaha
Anataka kuja kudowea kisamvu
[emoji45] [emoji45] [emoji45]Lazima nisemeeee
Binamu asante sana [emoji8][emoji8] hapa nilipo umenifanya nijisikie raha kwa hizi nyimbo halaf nani kakwambia ujijumuishe hizi nyimbo ni kwa ajili yangu mm tu jaman hivi huwa huelewi
Shikamoo binamu...nilijua tu lazima mimi nisiwemo, hivi nimekukoseaga nini mimi? Ujue sisi ni ndugu kabisa maana mumeo namuita mjomba
Kabisaaa hata kama hajalaAhahahhh na kumsemea lazima umsemee
Naja sema[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Binamu sio wewe tu uwepo hizo nyimbo hazimuhusu yeyote zaidi ya mie shunie pekee hivi makosa yako huyajui au kujisahaulisha...nilijua tu lazima mimi nisiwemo, hivi nimekukoseaga nini mimi? Ujue sisi ni ndugu kabisa maana mumeo namuita mjomba
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kama nakuonaKabisaaa hata kama hajala
Haha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kama nakuona
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Naja sema
Nimepakaziwa tabia zisizo zangu
Huwa kinapikwa na KarangaNdio kipoje hiko
Hahahaa[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi huyo mbona nahama jukwaa naenda zangu entertainment kwenye uzi wangu
Hahahhaa[emoji3]Nimekula hadi nkavua shati